@BesteNicolas Njia za kuacha kujichua
Usipende filamu za ngono
Usipende hadithi stori za mapenzi
Usipende kukaa peke Yako
Acha kujishika shika sehemu za Siri
Ukihisi hisia za mapenzi ghafla Toka hata nje au fanya mazoezi
Punyeto Ina madhara makubwa sana Kwa mwanaume hili limefichwa halisemwi
@PochaRamadhan Mchawi yeyote lakima aloge mtu wa nyumbani mwake, yeye hapendi lakini kikao Cha wachawi kinaamua Leo zamu ya flani kama wachawi wachache mzunguko unaenda fasta anaroga Mtoto wa pili
@Twaha_Mwaipaya@SuluhuSamia kaleta demoklasia, ingekuwa zama nyingine hata hizo dk 2:38 zisingefika angekuwa fired, Askari katofautisha kati ya chama na serikali
@IAMartin_@ummymwalimu Ukiangalia nyumba za wahusika kweli ni watanzania wa hali ya chini kabisa, nyumba thamani yake hata laki mbili haifiki ni miti ya porini udongo na nyasi na mlango wa kuegesha, ndo umuombe laki na 50?
Alikufa Kwa mateso sana Binti wa mama 😭