Kwa hii PROPAGANDA ya udini wanavyoipalilia ccm msijekushangaa ukisikia Msikiti umechomwa moto Tanganyika. Upuuzi huu waliutumia sana Zanzibar kwa kuchoma moto au kurusha mabomu Makanisani kwa lengo la kuwajaza CHUKI Watanganyika dhidi ya Wazanzibari . Walijaribu kila njia kujaribu kuonesha kuwa hakuna maelewano baina ya Mtanganyika na Mzanzibari. Mzanzibari akiwa anadai Zanzibar yake na Mtanganyika anadai Tanganyika yake ni kifo kwa ccm. Jambo hili ni mwiba mkali sana kwao. Tusikubali kugawanywa.
#October29Massacre
The first step to redemption is admitting the horror: our people were massacred on October 29 and the bloody days after, an unprecedented atrocity! The October 2025 Massacre will not fade into oblivion like Angola’s forgotten May 1977 slaughter. No, we will etch it into history as a rallying cry against impunity. https://t.co/xK1Vgy0GqR
@mpambazi Ulikuwa wapi 27 January 2001? Unajua nn kilitokea Zanzibar na unajua kuwa wazanzibar walikimbilia mombasa Kenya na wakapokeliwa kama wakimbizi. Unajua 2020 kilitokea nn Zanzibar. Hebu tuacheni bana
@Bendone_23@Roma_Mkatoliki Tanganyika ITV ndio station ya mwanzo ya TV Iliazishwa miaka 30 baada ya zanzibar kuwa na TVZ. washamba wa video nyie. Zanzibar ina CCTV camera mpaka vichochoro mwaka wa 10 sasa.
Hata Google earth stress view Dar haina. Similarly sio level yenu
@Roma_Mkatoliki Wazanzibari wapo mbele ya Watanganyika kisiasa kwa miaka 35. Huwezi kumuona mtu ambae mpo level tafauti. Halafu Zanzibar ipo mbele sana ukilinganisha na tanganyika kwa mambo mengi .mfano mpira wa ulaya unajulikana zenj wakati bara haina station hata moja ya TV.