*A MESSAGE TO OUR BROTHERS AND SISTERS OF TANZANIA*
Dear brothers and sisters,
Hon. Tundu Lissu our brother, father, son and uncle has become a symbol of Tanzania’s struggle for freedom, justice and democracy.
When fear tells others to retreat, he stands. When silence is safer, he speaks. When the weak need a voice, he lends them his own.
Tanzanians, remember this moment. Remember the faces, the names and the offices of those who wield power and those responsible for injustice today. History must keep a faithful record not for vengeance, but for accountability.
No power is eternal. Governments come and go, but the record of what we do with power remains. When the day of accountability comes, let it come through evidence, due process and the impartial rule of law. Let justice answer injustice not revenge.
And today, Tundu Lissu calls out to you and to the spirits of your forefathers and foremothers who shaped the land upon which you walk. Their strength surrounds him. Their courage guides him. For he stands for the future of Tanzania and the generations yet unborn.
Now is the time for unity.
Now is the time for your voices to be heard.
Let the world hear your solidarity. Let President Samia Suluhu Hassan, her government, and every observer know that those standing with Tundu Lissu remain unwavering, unbroken and unafraid.
From the hills and valleys to the lakes and plains of Tanzania, let the message echo:
A people’s yearning for freedom can never be imprisoned.
Tundu Lissu does not stand alone.
Africa is watching. Africa remembers.
Long live Tanzania.
Long live justice.
Long live freedom in Africa.
In solidarity from your African brother in Sierra Leone,
Jesmed F. Suma
@kalegamyeh Bongo tukipata katiba mpya iwe na sheria kali kuhusu mafisadi, matapeli wa nchi, waliotumia madaraka vibaya na wengineo kupigwa na mawe na wananchi pale uwanja wa Taifa🤒
Our beloved Mwalimu Julius Kambarage Nyerere is turning in his grave at how low and despicable the leadership of the once indomitable Tanzania has fallen. #RestInPowerMwalimuNyerere
It was an absolute honour to meet and present special @ChademaTZ2 greetings to MEP @gahler_michael in Brussels🇧🇪. Our brief meeting touched on Tundu Lissu's fake treason case, the broader deterioration of democracy, human rights violations & the erosion of freedom in Tanzania🇹🇿
leo tena! Kesi ya kikatiba ya kupinga President wa TLS kushitakiwa kamati ya maadili kwa mambo ambayo amezungumza kama Rais wa TLS, lakini hawa jamaa wanataka kumfuta uwakili ili waweke Rais wao wanayemtaka au yule makamu ndo awe Rais; hatutakubali! @Mwabuk2Boniface@MpaleMpoki
@ThabitSenior SSH
DAB
Mwigulu
RC Chalamila
JK
Inno Bashungwa ( ingawaje ana mke mwenye akili ila ameamua kuwa mzigo na sikio la kufa)
Agustino L Mrema
Lipumba
ZZK
Yericko Nyerere
Damas Ndumbaro
Kenani Kihongosi
Mohammed Kawaida
Stephen Wassira
and the list goes on....🚮
Huyu ni shemeji yake na makamu wa Rais haram, Deo Ndejebi… Yani huyu ni mdogo wa baba mmoja na mama mmoja wa Subira mke wa Deo. Yani huyu ni binti wa mwisho wa Adadi….
Mtoto mdogo huyu, hajui A wala B…
Nchi imetekwa na kundi dogo. It’s time to fight.
Yani wanahakikisha nchi nzima imeshikwa na familia zao au close friends tu, sisi wengine tunakamuliwa.
Alafu Watanzania wenyewe wako busy na upumbavu wa linda mgongo wako. Hivi huu ustupid tutaacha lini? Wanaweka wananchi busy na trend za kipuuzi huku wao kimya kimya wanainyonya nchi na familia zao. Imagine mambo kama haya yanaendelea Watanzania wanatolewa focus na upuuzi
This is why CCM wanang’ang’ania nchi ni ili mpaka wajukuu zao waje kututawala kama hivi….
Ila mijitu ya CCM sijui ni mi zero brain kiasi gani, mijitu imesota huko CCM miaka na miaka ila position za maana wapeana wenyewe CCM mtandao na familia zao, yenyewe imebaki kufanya uchawa kama mazuzu.
Tundu Lissu akiwa bado Ubeljiji mwaka 2022 aliongea na #MariaSpaces kuhusu mgomo wa madereva na akasema wasimsuburi Tundu Lissu aje
Leo Lissu yuko ndani na madereva wenyewe wamejipanga na wamegoma nchi nzima!
Tanzania AMKA!
Tulichokosa na mshikamano sasa tumeshajua TUSHIKAMANE!
Hakuna serikali dhalimu iliyoweza kushinda raia wake ambao wako mamilioni!
@munyamambogo@TBoundBuses msikilizeni Lissu
#TutaelewanaTu
#BREAKING: TANZANIA HAINA SERIKALI HALALI: TAASISI YA THABO MBEKI
Taasisi ya Thabo Mbeki imetangaza kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa haina serikali halali, kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025.
Katika taarifa yake, taasisi hiyo imesema matokeo yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania hayakuakisi matakwa ya wananchi, na badala yake utawala uliopo umewekwa kwa watu kupitia mchanganyiko wa nguvu na ulaghai.
Wakfu huo umerejelea ripoti za waangalizi wa uchaguzi kutoka SADC na AU, ambazo zilionyesha kuwa uchaguzi ulikuwa na mapungufu makubwa katika kanuni na miongozo ya kidemokrasia.
Waangalizi walibainisha kuwa wapiga kura hawakuweza kutumia uhuru na dhamira yao ya kidemokrasia, na wakfu huo ukaongeza kuwa Tanzania inahitaji mwanzo mpya wa kisiasa.
Aidha, taasisi hiyo imetoa risala za rambirambi kwa familia zilizopoteza wapendwa wao kufuatia vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi, ikisisitiza heshima yake kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wananchi wake, na kuwatambua kama marafiki wa kweli na washirika wa kudumu.
“Wanaosema nifungwe waambieni Katika historia hakuna shujaa yeyote anayeitwa shujaa ambae hajaonja kifungo au mambo tunayopitia. Hilo sio taji la miba ni taji la dhahabu. It is only reserved to kwa watu wa maana.”-; Mhe. @TunduALissu
September 23, 2026.
Ahsanteni sana wanaharakati mlioko instagram, tiktok na Facebook. Kwa sasa mnalibeba jahazi sababu mimi na @MariaSTsehai tumenyimwa access na wananchi walio wengi….
Mnafanya kazi iliyotukuka…
Uanaharakati ni title ya kujivunia. Nyerere, Nelson Mandela wote walikuwa wanaharakati na harakati zao zikoleta uhuru kwenye nchi zao… LETS KEEP PUSHING
Nuruvazi, Tanzanite, Marcus,Vinepa, Uhuru na wengineo…..
Kwa kifupi Tume ya Chande na hii ya Lila ni takataka tu. Wametumia mapendano ya Zanzibar kuonyesha kama wameanza kufanyia kazi maridhiano.
Zanzibar wameingia kwenye mapendano ili kumuokoa dada yao. Hawawezi.
Wamesahau walio uwawa kikatili mwaka jana ni Watanganyika. maCCM pamoja na samia hawajafanya lolote Tanganyika zaidi ya kuendelea kuteka na kuumiza watu.
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu
‼️AMKENI!! WAUAJI WAMEKWAMA JUMUIYA YA MADOLA (COMMONWEALTH)
Serikali haramu iliwakilishwa na Kombo mzanzibari huko mkutano wa dharura wa Mawaziri wa Commonwealth na alijieleza wee na mauongo yake! Ila si mnajua British style wakikushushua au kukunamga wanatumia lugha fulani unaweza kudhani wanakusifia 😅! Nadhani Kombo alijua ametoboa hadi maamuzi yalipofanyika na kutoka rasmi kwani Tanzania itaendelea kujadiliwa maana serikali IMESHINDWA kushughulika na yale maeneo manne waliyowekewa kama masharti na Commonwealth ikiwemo demokrasia, media nk
Wamewakumbusha maharamia hawa kuwa Katibu Mkuu anataka kufika nchini - yaani kimama kila saa anatafuta sababu! Kapewa pole ya msiba naona ndo Kombo atakuja kutangaza ka mafanikio 🙄
#JusticeForMO29 #Tanzania #SamiaMustGo
Tafsiri:
CMAG ilikumbushia masharti manne yaliyoainishwa katika Mkutano wake wa Sabini na Moja wa Desemba 2025 na matarajio ya muda yaliyowekwa katika Mkutano wake wa Sabini na Tatu wa Julai 2026. Ikitambua maendeleo katika maeneo fulani, CMAG ilisisitiza hitaji la kuongeza juhudi zaidi ili kuendeleza mchakato jumuishi na unaowezeshwa kwa uaminifu kati ya vyama; ulinzi wa uhuru wa kiraia, kisiasa na vyombo vya habari; mipango ya haki, ya wakati na ya uwazi katika kesi zilizosalia; na michakato inayoaminika ya uwajibikaji, na fidia inayofaa kwa wale walioathiriwa.
VIJANA Tanzania tumekuwa kama "mbuzi wa KAFARA".
Tunatekwa SISI.
Tunauliwa SISI.
Tunaonewa SISI.
Haki zetu zinadhurumiwa SISI.
Ujumbe huu kwenye gari unasema namna tulivyochoka sisi kama VIJANA, inaumiza kinoma.