the passion in Philosophy of possibility, Every Dream is in my Rich. Maisha ni kupanga na kuchagua vile unavyotaka..! #MrThinker1๐ H.166cm #Arsenal#SimbaSC
@ItsMrHealth Mara nyingi naona inategemea Maamuzi ya Mwanaume, sema ni bora kupima kabla ya game asee. Last time Nimefanya huo upumbavu nilikunywa PEP for 28days, zilinitesa ila kila nikiwaza kuziachia njiani moyo unakataa๐๐. Pimeni au Vaeni ndomu