#TajiriLaKihaya
Wana ARSENAL ….
Comment na namba yako ya simu… kila Mwana Arsenal Apate PEPSI BARIDI popote alipo….
Hii Furaha nlionayo kuanzia Jana usiku sio ya Dunia hii….
Kmmmmmmk….. nakojoooooaaaaaa
#COYG 💪🏽
Kumbe kuna Mchaga alienda UN miaka ya zamani kuomba uhuru kwa ajili ya Wachaga wawe wanajitegemea, kufika kule akakutana na Nyerere akamwambia naomba Uhuru kwa ajili ya Watanganyika wote na sio wachaga peke ake.
Ilibaki kidogo tu wachaga wawe na nchi yao 😃.
Hakuna kazi NGUMU kama kula hela ya ASSno—unajua kabisa hii game wanashinda ila game yenyewe ukiwa unaangali MOYO UNATAMANI KUCHOMOKA mamae.
Mashabiki wa hii team sijui wanawezaje kushabikia huu usenge aisee.