@SportsarenatzTz Mbona wao protocol hawakufata uwanja haukujaa kwanza mzee mzee mangungo mtu wa vibe akutaka kubanwa hapo uwanasheria wake apeleke huko akatete club yao kwann hailipi watu hela zao alaaaaa next time tuna mpeleka her Excellence madam prezida mzungu alafu mtuambie protocol