"Mei, Juni na Julai Tanzania imeingiza mafuta kwa bei juu kuliko nchi nyingine zote za Afrika Mashariki"- John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, akizungumza na wananchi wa Tabora Mjini jana Ijumaa Juni 27, 2026.
Waziri wa mambo ya ndani Mhe. Patrobas Katambi ameiambia BBC kuwa zuio la mikutano ya kisiasa alilotangaza jana ni la muda mpaka pale watakapojiridhisha kuwa tishio la uvunjifu wa amani limeondoka.
Japo Waziri Katambi hakuweka wazi moja kwa moja katika maelezo yake, kuna vuguvugu mtandaoni la kutaka kufanyika kwa maandamano Nchi nzima hapo Julai 07, 2026.
Waziri Katambi amebainisha kuwa serikali haipo tayari kuona machafuko kama ya Oktoba 29, 2025, yakijirudia tena Nchini na watu kupoteza maisha huku mali binafsi na za serikali zikiharibiwa.
Katazo hilo la serikali tayari limekosolewa na kupingwa sana na vyama vya siasa na wanaharakati mbalimbali, wakieleza kwamba katazo hilo ni amri batili inayovunja sheria na Katiba ya Nchi.
Wananchi wanajitahidi kudai haki zao kwa njia rasmi, mnawazuia, sasa wakiitafuta haki kwa njia za mlango wa nyuma msiwalaumu.
Kila ukandamizaji una kikomo cha ustahimilivu, Tulipofika wananchi hawataweza kustahimili tena!
"Ninarudia kumwambia Bwana Patrobas Katambi (Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi), anajiita mwanasheria na narudia msemo ambao nimewaambia Polisi na ni msemo ambao nimewaambia vyombo vya dola, baada ya vita ya pili ya dunia Wajerumani waliposhindwa Vita Adolf Hitler alipojiua walibaki watu wake waliokuwa wamatumwa kukamata watu na wakashtakiwa, kesi hii hoja ikawa kwanini waliua watu, kwanini waliteka watu, utetezi wao ukawa ni maelekezo kutoka juu."
"Majaji wakauliza huko juu ni wapi, Mbinguni? Hapana kwa yule aliyekufa, hoja ikawa ni sheria inawaelekeza nini? Wengi baadae walinyongwa na wengi walikufa. Patrobas, juzi tu kulikuwa na waziri anaitwa William Ngeleja, alikuwa Waziri wa nishati na madini sasa alipotoka Kikwete, Magufuli alikuja akawatikisa kidogo akauliza kuhusu mikataba mibovu ya madini, kilichowasaidia ni vimemo ambavyo wakati wanatumwa walikuwa wanasema kwanza niandikie."
"Sasa Katambi ninavyokujua umeambiwa tu, sijui kama una kimemo, unatangaza hali ya hatari na kwenye Nchi, huna mamlaka hayo, unatishia watu wanaokutana, hatuchapi watu kwenye mikutano, wewe unatumwa kutishia watanzania. Nataka nikuhakikishie Patrobas Katambi, kwa umri wako Mungu akikupa miaka mingine mitano mbele CCM haitakuwa madarakani kwenye Nchi, lije jua ije mvua, mauaji ya Oktoba 29 yameondoka kabisa na CCM kwenye Nchi hii, haipo tena na kuna siku tutataka ujibu watu waliotekwa na watu waliopotea."- John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema akizungumza na wananchi wa Tabora Mjini leo Ijumaa Juni 26, 2026.
JAKAYA KIKWETE NI KANSA KWENYE TAIFA LA TANZANIA. HUYU NDIO CATALYST WA MAUAJI YANAONDELEA TANZANIA NA VITENDO VYOTE VYA UMINYAJI HAKI.
Mwaka jana kipindi cha uchaguzi, kuna speech mbili aliongea Kikwete ambazo zilituumiza mioyo Watanzania wengi na pia speech hizi zilituonyesha Watanzania ni nani anaemdanganya Samia Suluhu kuendelea na unyanyasaji wa Watanzania, utekaji na uuaji wa Watanzania.
Video ya kwanza, Kikwete alisema kuwa sheria za uchaguzi Tz sio mbaya, ziko sawa tu na kwamba ni kundi dogo la watu ndio linadanganya wananchi.
Imagine nchi nzima inavyolia na sheria za uchaguzi ila Kikwete anakwambia hizi ndo sheria zinafaa Tanzania.
Video ya pili Kikwete anasema kuwa bunge zima la Tanzania linatakiwa kuwa CCM tupu maana hawataki kuchanganya pumba na mchele, kwamba wao na familia zao ni mchele sisi wananchi tunaolilia haki ni pumba.
Downfall nzima ya demokrasia Tanzania ameileta Kikwete na mpaka sasa yeye ndio anazidi ku drive machafuko ndani ya nchi kwa kuhakikisha Watanzania hawapati haki.
Yes, Samia ana deserve lawama zote ila inabidi Watanzania waelewe Samia anapewa nguvu na Kikwete. Hata Samia tufanikiwe kumuondoa ila as long Kikwete bado yuko involved the siasa za Tanzania basi Watanzania tutaendelea kuuliwa nafasi CCM.
Na kinachoumiza zaidi @_AfricanUnion imempa Kikwete position ya kudeal na siasa tata nchi za Afric. Imagine master mind wa siasa tata Tanzanka ndio anapewa cheo za kusawazisha siasa tata Tanzania.
Huyu Mzeehatakiwi kupewa nafasi in any room ya uongozi popote pale. Ana damu za Watanzania kwenye mikono yake.
#HABARI Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika Boniface Mwabukusi, amemkosoa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi (Mb) kwa kauli yake ya kutoa agizo kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camilius Wambura la kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa kote nchini akifafanua kwamba, Jeshi la Polisi ni Chombo kinachojitegemea na sio kitengo katika Wizara ya Mambo ya Ndani. #EastAfricaTV
Siku nzima ya leo magari mawili ya polisi na polisi wakiwa wameziba nyuso zao na silaha kubwa kubwa, wamenifuatilia tangu nikiwa Urambo kwa kupokezana mpaka nafika Kigoma.. njiani nimesimama mara mbili kuwauliza shida yao ni nini kwangu hawakuwa na majibu ya maana.
Nimefika hapa Kigoma kila ninakopita na hapa Hotelin kwangu wamejaa maafisa wakiwa na nguo za Kiraia..
Mimi ni Mwanasiasa wa upinzani ninaetimiza wajibu wangu wa kikatiba… Chama chetu ni chama cha siasa ambacho kimesajiliwa na chenye haki zote katika Nchi hii.
Nimepokea taarifa nyingi kwa watu wema wakitaka niwe makini, wengine wanasema mimi na familia yangu tumetolewa maelekezo mabaya.
Nitatimiza wajibu wangu bila uoga wala hofu, hakuna mtu anaweza kuniondoa kwenye haki na wajibu wa kutetea Nchi yangu na watu wetu.
Ninawashauri watawala dhalimu kuacha kucheza na utulivu huu uliopo . Hofu haijawahi kuzaa amani, hofu huzaa hofu zaidi.
Hakuna siku nitakimbia Nchi yangu.
Just hours before today’s planned @ChademaTZ2 rally at Wananchi Square, the police have officially banned it, citing the samia suluhu hassan regime’s blanket ban on all political rallies.
Same repressive playbook as Magufuli. Peaceful assembly crushed overnight.
Tanzania’s democracy is being strangled in broad daylight.
International partners and friends: words are not enough. Hold the samia regime accountable.
Please stand with the people of Tanzania.
@SenatorShaheen@SFRCdems@SenTedCruz@RepBrianMast@HouseForeignGOP@HouseForeign@EUinTZ@EP_HumanRights@EP_ForeignAff@SenatorRisch@davidmcallister
#Tanzania #HumanRights #Democracy
#Tanzania #HumanRights #Democracy #RuleOfLaw
‼️ALERT‼️🚨
Polisi wenye silaha za moto, wakiwa na gari zao, wanafuatilia msafara wa Makam Mwenyekiti Mhe. John Heche
Mhe. Heche pamoja na msafara wake wanatoka Tabora mjini kuelekea Kigoma ambako wanavikao vya Chama.
Ikumbukwe leo Mhe. Heche alitakiwa kufanya Mkutano hadhara jimbo la Urambo lakin Mkutano huo umezuiwa na Jeshi la Polisi kwa maelekezo ya Nduli Idd Amin Mama.
Nasikia baada ya upumbavu wa Katambi - sasa serikali haramu iko kwenye damage control inawaambia akina Who are you eti ni suspension not a total ban
Pumbaf zenu! Suspending political parties’ rallie INDEFINITELY using vague and baseless reasons 🟰 a ban!
Hii imetoka! Mmebugi!
Nasema #TutaelewanaTu
#SamiaMustGo
Leo Makam Mwenyekiti Mhe. @HecheJohn ilikuwa afanye mkutano wa hadhara jimbo la Urambo ambapo jana Polisi walitoa kibali CHADEMA kufanya mkutano kwenye eneo hilo.
Leo Jeshi la Polisi Wilaya ya Urambo wamekuja na hii barua ya kuzuia mkutano wetu eti ni maelekezo ya Serikali haram.
Jeshi la Polisi linatekeza kila amri wanayopewa ndo maana Oktoba 29, 2025 walipopewa maelezo kwamba wauwe kila Mtu ambae watamkuta barabarani, waliingia mtaani na kuwamiminia risasi Watanganyika ambapo waliuwa watu zaidi ya elfu kumi.
Upolisi ni kazi ya kisenge sana.🚮🚮🚮
Mmejifunga goli
Own goal by the illegitimate govt in #Tanzania trying to control and spin the damage they created!
Mnajichekesha mmeshajipiga risasi mguuni 🤣🤣 tulieni sindano iwaingie!
Narudia hii vita mmeshashindwa!
#TutaelewanaTu#Maandamano77#SamiaMustGo#JusticeForMO29 #FreeTunduLissu