@mwanasendelema@jokateM@bbcswahili@Odemba4@jokateM amekuwa akijituma kwa hali na Mali kwa ajili ya Watanzania hata kabla hajawa MKUU WA WILAYA. Kwa maana hiyo basi, tuna kila sababu za kumuombea KHERI na BARAKA.
Maneno ya Dada yangu
Mh: @jokateM yalifanya IMANI yangu ikuwe kwa kiwango kikubwa. Nina IMANI itakuwa hivyo na kwako pia.
.
.
.
@jokateM@bbcswahili@Odemba4
.
Mtunze na mthamini yule aliye na upendo wa dhati kwako, yule awezae kulia pindi unapopata maumivu au matatizo na huo ndio upendo wa kweli.
.
.
Comment "UPENDO" kama umevutiwa na ulicho kiona.
Ujumbe kutoka kaka… https://t.co/JxGTrjFQiP