Our country tearing Blood of innocent people
The blood of people who were asking/fighting for their rights peacefully...
It breaks my heart when i took time to remember them R.I.P all who lost their lives.
May ur blood be upon the country
Cc @UN@ChademaTz@ACTwazalendo
Mange kaacha UMBEA inamaanisha kapoteza zaidi ya $100,000 kwa Mwezi. Na amesema ataachana na UMBEA kwa Miezi mitano.
Inamaansha anaenda kupoteza zaidi ya $500,000 kwa miezi mitano. Yote kwaajili ya HARAKATI za kuikomboa TANZANIA.
Kipenzi cha WAPENDA HAKI, hapa umejua Kutukosha DADA WA TAIFA. Naomba tushow love kwa REPOST 500π₯π₯
TUTAKUWEPOπ«΅πΎπ
Nimetafakari Sana. Sisi , Hiki KIZAZI Hiki , Hiki. We have a very big problem. Unaweza chinjwa mbele yao na wanabaki wanasema OMG !! Hatujali Kabisa Mambo Muhimu Yanayotokea Nchini. Kesho Ni Ngumu Sana. Sisi Ni Kizazi Kinachowaza Zaidi Friday Night Tu. Stupid Us. Anyway Tuendelee Na Tone Tone Ziara Ya Kazi Inaanza Tena , Pls Wewe Mtu Mwema Tafadhali Nakuomba Sana Endelea Kujali CHADEMA MPESA 0744446969
Hivi kwa mfano kila siku ukilaza Tshs 30,000/= kwa mwezi utakuwa na Tshs ngapi...?
(100K x Odds 1.36) 30 days
Natafuta watu 200 tucheze hizi Odds 1.36 kila siku kwa siku 30.
RETWEET NIKUADD BURE KWENYE HILO GROUP LA ODDS 1.36. KILA SIKU
@idrisaidrisa206 @ManenoIzaak Mbona huwa hamji na adhab zinazowafaa sasa maana mnawaambia walim wasichape wasichape watoe adhabu gan, waambieni...
Na ikumbuke hio adhab isije ikawa ni adhab kwa mwalimu pia...
@VeronicaPanta15@MputaRaia@UNICEFTanzania Muwe mnakuja na adhabu ambazo zinawafaa sio hakuna viboko hakuna viboko come with alternatives... and make sure io adhab isiwe adhabu pia kwa mwalim na isiwe conducive kwa mtoto yaan mtoto asifurahie adhabu maana haitakuwa adhabu tena kama itamfavour