Hakuna kazi ngumu Kama kuongoza taifa ambalo watu wake wanaamini wazungu Ni Bora kuliko wao. Hii inatokea Afrika, mataifa ya magharibi yakisema kiongozi wenu Ni dikteta wao kweli Ni dikteta. Fikra za waafrika zipo kwa watu wa magharibi.
Ukweli ni kwamba Mwanamke anaweza lala na yeyote anayemuhitaji lakini mwanaume atalala na yeyote atakayempata ila mwisho wa siku mwanaume ataowa anayemuhitaji na mwanamke ataolewa na yeyote atakayepatikana.
@halimamdee Watu tunajifanya vipofu kwa mapenzi yatu ya kijinga kwa chama ila staki kuamini mdee na wenzake kuwa bungeni eti hakuna baraka kutoka viongozi wa juu wa chama