We are dealing with Sustainable Energy Services including promoting clean energy and clean cooking for purpose of creating wealth and combating climate change.
KUPIKA KWA UMEME NCHINI TANZANIA NI NAFUU, RAHISI NA SALAMA ZAIDI UKILINGANISHA NA VYANZO VINGINE VYA NISHATI; fatana nami nikudhibitishie
Mwaka 2017 na 2018 TaTEDO-SESO @TaTEDOtz ikishirikiana na Gamos Ltd ya Uingireza walifanya utafiti kwa mikoa ya Dar,morogoro,dodoma,Moshi;
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kibali cha kuruhusu wafanyabiashara wanaoanza biashara kutokulipa kodi kwa kipindi cha miezi sita hadi mwaka moja.
#HabarileoUPDATES
KUPIKA KWA UMEME NCHINI TANZANIA NI NAFUU, RAHISI NA SALAMA ZAIDI UKILINGANISHA NA VYANZO VINGINE VYA NISHATI; fatana nami nikudhibitishie
Mwaka 2017 na 2018 TaTEDO-SESO @TaTEDOtz ikishirikiana na Gamos Ltd ya Uingireza walifanya utafiti kwa mikoa ya Dar,morogoro,dodoma,Moshi;
Kwa Sescom Pressure Cooker kwa mwezi gharama za nishati ya kupikia zilipungua hadi Tsh 21127 sawa na Tsh 704 kwa siku, toka Tsh 75,000 waliokuwa wakitumia kwenye gesi, mkaa na kuni.