I'm a Crop Scientist (Horticulturist). I contribute to indigenous vegetables seed physiology research including seed dormancy, storage behaviour & longevity.
Tumsikilize LISSU tena Asubuhi hii Baada ya kutoka Ibada.
PART VII.
Hapa ilikua ni Bunge la Bajeti,
Tarehe 02 Julai 2015,
Muswaada wa Kuwalinda watoa Taarifa za uhalifu na Mashahidi
Lissu Vs Simbachawene
Tumsikilize TUNDU LISSU Jioni Hii.
PART VIII.
Hapa ilikua ni Bunge la 11,
Tarehe 01 Feb 2016 Miaka 8 iliyopita.
Mkutano wa Pili.
Kikao Cha Tano
Siku Hii Toto Tundu Aliwapa Muongozo matata sawa Hawa viumbe hapa bungeni, Yote yalibaki yameduwaa kama makenge.
🌍Safeguarding traditional African Vegetables:
Landmark deposit at the Svalbard Global Seed Vault secures vital opportunity crops🌱
🔎Read more: https://t.co/izYuTQdock
Mnyalukolo katuwakilisha vyema sana WATANZANIA.
Unatuma meseji za Uchaguzi nani kakuambia kuna uchaguzi mwaka huu?
Safi sana FAMILIA UMEWAKILISHA MAMILIONI YA WATANZANIA.
TUTAKUWEPO🫵😎
Nimemsikiliza dogo nimetokwa na CHOZI.
Dogo anaakili kuliko wapumbavu wengi wanaoamini kwenye kulinda AMANI. Mungu akufunike mdogo wangu uishi miaka mingi. Tutashinda ni swala la Muda.
TUTAKUWEPO🫵😎
Yard ya FA? Viongozi wa umma lazima wafanyiwe lifestyle audit. Na sio wivu. Hawa watu wana access ya, na wanavuna, pesa chungu nzima za umma. Wana ukwasi wa kutisha katikati ya jamii fukara on the face of things. We shall revisit this matter & the likes asubuhi ikifika!
Leo mgombea wao Mama yuko mkoa wa Mara ila wanaCCM wazito kutoka mkoa wa Mara wametekwa miezi hawajawahi kuwasemea - wameufyata! 🙄
Juzi katekwa aliyekuwa Mwenezi wao Polepole - kimyaaa!
Sisi hatubagui inapokuja kwenye haki ya kuishi @SuluhuSamia
Tunawapazia sauti 🗣️
#FreeDanielChonchorio
#FreeSindaMseti
#FreeHumphreyPolepole
#FreeAllPoliticalPrisonersinTanzania