Sabr isn't easy, Sabr is tears, Sabr is feeling alone, Sabr is swallowing insults, Sabr is smiling covering tears, Sabr is crying for the response of Allah.
And Allah says in Quran,
"Behold. I am near."
(2:186)
Zanzibar ni salama na itaendelea kuwa kivutio na paradise kwa watalii!. Ndiyo maana mamlaka zimechukua suala hili kwa uzito mkubwa sana na tungoje uchunguzi
Zanzibar ni peponi na watalii mje kutembelea Zanzibar 😍😍
Zanzibar ni salama na itaendelea kuwa salama kwa watakii kwemda kuitembelea!
Mengine tuache uchunguzi ufanyike na majibu yatatolewa! Kwa hali ya sasa ni kuwa ZANZIBAR ni salama mno
Ripoti ya Kodi ya Marekani inaonesha Pesa yote iliyopata Familia ya Rais Joe Biden Mwaka 2021 ikiwa ni pamoja na Mishahara ni sawa na Shilingi za Tanzania Bilioni 1.4, huku Familia ya Makamu wa Rais Kamala Harris iliingiza Shillingi Bilioni 3.8. Pia wote Wamelipa kodi kwa Uwazi.
Justine Mahinyila @justinecodez ni business developer wa @ClickPesa na @AfricaGetpaid pia ana ujuzi kuhusu Software Engineering .Justine atakua mkufunzi wetu kwenye #FreelancingMasterclass ,Jumamosi hii ndani ya ukumbi wa Luhaga hall ,COICT