@sapro_phyticus4 Kabla tournament haijaanza mlisema ureno ina viungo bora kwa kila idara; wa kukaba, wa kucontrol game, wa kupiga pasi mpenyezo na ronaldo ataenjoy sana mapasi ya bruno. Sasa hivi mnasema kuna hujma mara viungo wanapiga backpass. Tulieni na msimamo wenu wa mwanzo hatutaki vilio