Sio kila mtu anaweza andika topic ya mapenzi ndio maana wengi wamepoteana humu.
Binafsi walioua ni
1.Mafioso Billnas
2.Baghidadi
3.Young Lunya
Top 3 yako nani kwenye huu mkwaju unaona ameutendea haki kwa verse yake.
Nchi za "Mabeberu" zina UTU wa kutosha wa kuruhusu kwenda kumzika mzazi au mwanao, tena Wafungwa ambao tayari walishakutwa na hatia na wanatumikia vifungo and not just Mahabusu under investigations.
Ila wapenzi wa Mungu sie, wapenda haki na watetezi wa wanyonge mweeh. π
Matajiri wanajikuta Motivational Speakers eti wanawapa watu wengine mbinu za kuwa matajiri kama wao ππππ
Nani anayeweza kutoa siri ya maisha yake na mafanikio kwa ujumla bila kuruka vipengele?