@TOTTechs Ila Mpaka Namba inakuwa Recycled nadhani ni Uzembe wa Mwenye Nayo. Nna Line ya Tigo ya tokea 2009, sometime nisipokua TZ huku nilipo hamna Roaming Partner wa Yas, ila from time to time natumia App ya Mixx nanunua Kifurushi cha Jero ambacho sikitumii, ila kunakua na activities..