@shibobo___ Kwahiyo unataka kutuambia Azam janja janja?wabongo mjifunze kuwa wazalendo acheni chuki zisizo na maana,Azam hii inayofanya makubwa kwa kuukuza mpira hapa bongo ambayo imewekeza mabilion ya pesa leo unaita janja janja aisee
@KipeNyoAfsa@EsirEid Marekani wanajua kwamba wataathilika ila ni kwamba hawataki hii vita iishe kwa wao kuonekana wameshindwa,wanaweza kuwa wanakubaliana na masharti ila wanataka yawe ya Siri na watangaze ushindi kitu ambacho huwa wanafanya sana lakini Iran hawezi kukubali,hapo ndipo Kuna tatizo
@nguboous_23@mshambuliaji Wabongo matatizo ya kutojiamini na kujikubali,mkiambiwa Kenya ina uchumi mkubwa kuliko Tanzania basi mnahisi wanajiweza kwa kila kitu,Tanzania ina hela na Magufuli alishawai kusema hilo,Tanzania Haina njaa,Tanzania Haina shida ya mafuta, Tanzania bado inakopesheka jua hayo kwanza