“Hayati Magufuli alikuwa anafanya kazi sana, alikuwa analala akiwa na usingizi tu kama hana basi alikuwa halali na asipolala hata Sisi hatuwezi kulala"———-Msemaji Mkuu wa Serikali, @MsigwaGerson kwenye CLOUDS360
Majirani zetu wanashangaa sie tunaweza vipi kushiriki uchaguzi chini ya muundo huu wa @TumeUchaguziTZ? Kwamba mgombea urais wa CCM ndie anateua mkurugenzi, mwenyekiti, makamishna, wajumbe wa tume ya uchaguzi kusimamia uchaguzi anaoshiriki? Majirani wanasema hatuna akili!