@MabalaMakengeza Yes. It's then we'll come to know and understand that the ruling class thrives on our hard-earned taxes giving us nothing useful in return... An unfair exchange defines our relationship...
@bwaya@IdrisSultan Wizi wa maudhui ni jambo lingine. Tabia hiyo ni kutozingatia weledi wa taaluma ya tafsiri. Wizi ni wizi tu na hauna budi kukemewa na sheria kuchukua mkondo wake.
@bwaya@IdrisSultan Kutafsiri ni sanaa. Si kazi rahisi. Pengine tuzungumze kuhusu ubora wa tafsiri na ikiwa weledi katika tasnia hiyo umezingatiwa barabara.
@MabalaMakengeza Rais Barack Obama aliwahi kutoa ushauri ... Afrika ijenge taasisi/mifumo imara badala ya kutegemea mtu mmoja mmoja (anayejifanya) imara ... Chama tawala kiache kuhadaa umma ... Kama wameshindwa Kazi, wakae pembeni....
Tanesco nakupenda Tanesco
Tanesco nakupenda Tanesco
Lakini nifanyeje
Mimi mteja wako
Wanitoroka kila siku
Sijui waenda wapi
Tanesco nakupenda Tanesco
Tanesco nakupenda Tanesco
Lakini wanikataa
Wakatika na kupotea
Kila siku mapema zaidi
Tuachane ee Tanesco.
Hakika. Hoja za uhakika zinapowekwa kando na kupotoshwa ... Kilichobaki kwa Tanzania ni kuombewa Huruma ya Mungu na kufanyiwa novena. Twende Kazi I ... Tusali Rozari ya Huruma ya Mungu kila ifikapo saa tisa alasiri ... Popote tulipo duniani ... Tuombe kujua kiakili.
Utawala wa sheria. Ili kuleta maendeleo Tanzania, tuanze na kusimamia kwa haki Sheria ya Usalama Barabarani. Hatua hii itaokoa uhai na mali na kujenga nidhamu inayohitajika katika nyanja nyingine za kiuchumi, kijamii, kisiasa na hata kiimani nchini.
Raila Odinga: As we warned during the campaigns, Ruto has brought the class war here, he is keen to have a religious war, and this is how it starts until citizens turn on each other