@Mwabuk2Boniface Sahihi kabisa senior...interview nimeisikiliza mwanzo mpaka mwisho tena kwa ku-construe between the lines,ila tatizo wabongo wewe mpe title tu habari ataandika mwenyewe tatizo ndipo lilipo hapo
@HildaNewton21 Huyu jamaa mshamba sana...hata wakati yupo Ubungo alikuwa hivihivi...yeye anaona dili kuweka watu ndani,mwanasheria asiyejua kutafsiri sheria