@PolycarpMDM Hii ni kusini.
Hili ni jengo lililokuwa jando la watoto wa kiume. Na hii ni siku ya mwisho watoto kukaa jandoni baada ya kupona( wanatahiri na kiwembe bila ganzi)
Hawa ni wazazi wa watoto wamekuja kuchoma jando kama Alama ya shukran na furaha their sons have become a real men.
Message
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa ππ
Namshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, afya njema, na kunifikisha hatua hii nyingine ya maisha yangu. Mwaka mpya wa maisha yangu nauweka mikononi mwa Mungu, nikiamini utajaa baraka, mafanikio, furaha na amani.
@INFLUENCERjr@Adventure_36
@Engkabora Mzee Kariakoo lina asili ya lugha ya kimakua na hii ni kwasababu alichora mchoro wa Hilo soko ni mtu mmoja anaitwa Beda Amuli(r.i.p) ni mmakua pia kutoka Masasi
Aliamini kujibiwa text haraka ndio kujaliwa..
Akahisi kuongea muda mwingi na simu ndio uaminifu..
Leo ameachwa, anauliza ilikuaje, tumemjibu "KUZOEANA SIO KUPENDANA."