@TChilumbe@rollymsouth nilitumia zoa zoa na hiyo Top lemon mambo yakawa fresh na sikuwa mweupe ata kidgo, kuna mwana nkamshauri atumie hiyo combo kilochomkutamungu hapendi๐๐
@jobles_bukujero unaongelea demu au mke wa ndoa? kama ni mke sio kitu kibaya kumsaidia. imagine awe ana mtoto mikononi mwake, hutomsaidia kubeba huo mkoba?
@travvy___@Noedson_tz kutohudhuria sherehe za ndugu na marafiki ndio mnaita grown up mentality? hayo mengine nitakubali ila sio hili. ni muhimu kwenda kwenye sherehe za jamaa zetu
@KondoSaid@ommyfitness bro dont give up hiyo kitu inawezekana.....mimi nliacha mwaka jana mwezi wa 5 na mpk leo hii sijawahi kunywa hizo soft drinks za viwandani
@nyuki_malkia kila mtu na bahati yake, nakumbuka mwaka wa kwanza nlilima mpunga kule moro lakini wapi,nikajaribu mwaka wa pili na watatu nayo pia haikuzaa matunda