Repost kwa WATANZANIA wote waliopoteza maisha Tarehe 29 na 30 🕯️.
Mwisho wa siku, nyie pia ni Wananchi halali na mnafaa kuombolezwa. R.I.P Comrades, tutaonana tena🙏
@bonifa69657@LaurentLau88201@Shinepretty79 @devis_ezekiel Haha mungule alikua hataki mkalale wasafi mlitoka pale vumbiii tu haha mm C coy kwa mashaka kitomari na kyungaiii
@MontrealzGurl@Amanwilly1@millardayo@WizaraYaAfya @ortamisemitz Mbaya zaid you can not kill the system that feeds you kwaio nayo itakua ngumu but let's hope itawezekana siku moja hilo jambo ikawa kweli nahs vifo vingi visivyo lazima vitaepukika.
@MontrealzGurl@Amanwilly1@millardayo@WizaraYaAfya @ortamisemitz The system made by people control and performed by people kwaio mwisho wa siku ili lesson ipatikane lazma watu hao waumie. And i think kuleta mtu a bae bado system haijamzoea au hajaizoea inaeza kua rahs kucontrol hayo mambo
@Amanwilly1@millardayo@WizaraYaAfya @ortamisemitz Hapana lakini itapunguza uzembe kwa wengine kwa kuona kwamba sio tu hatua za kuwawajibisha wao zitachukuliwa bali pia kuna watu wenye ujuzi kama wao wanaeza Kukaa katika izo nafasi sometimes uzembe serikalini unatokea kwasababu ya uhakika wa kuwepo ata kama utafanya kosa.