@bunge_tz Taarifa isubiri mpka mbunge amalize muda wake ndo taarifa itoke sio Kila muda taarifa ,taarifa mbunge anashindwa kutimiza mchango wake kwa wakati aliopewa
@joel_beatus@chodas_3@nguchiro47@chapanombombwi Hakuna aliyekamilika Duniani kote! Kuna vitu viko kwenye Muungano na vingine havipo katika muungano ndo maana unaona mambo kama hayo ya Ushuru, Kila sehemu ina sera zake za Ushuru na ilo jambo halikuwepo kwenye Muungano! Tunaambiwa ilikua ni ulinzi na Uhamiaji tu
@chodas_3@nguchiro47@chapanombombwi Ardhi ya Zanzibar ni ndogo sana,, na sio lazima ununue zanzibar ,, Huku Bara kuna Maeneo ya kutosha unaweza Kununua! Kuhusu leseni unaweza tumia kwa muda kama hudumu huko, pia leseni ya znz Ukija bara kama utakaa muda mrefu lazima ubadilishe,!