Mdau ameeleza, “Watu ambao wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuwa mfano wa kuonyesha jinsi sheria za barabarani zinapaswa kufuatwa, ndio wa kwanza kuzivunja.”
Nini maoni yako?
Shiriki mjadala https://t.co/gsJQQh49QD
#JamiiForums#JFMdau2026#Uwajibikaji
Video: unpopular_opinions_bymslendisa
BREAKING: Meta confirms that it blocked Maria Sarungi-Tsehai’s Instagram account in Tanzania after a legal order from the government.
The company tells me that activist Mange Kimambi was banned from Instagram and WhatsApp for repeatedly violating its rules
Ni ngumu sana kuzuia mvi kuota. Ni ngumu sana kuzuia njaa isiume. Ni ngumu sana kuzuia mwili kukua. Ni ngumu sana kuzuia mshale wa muda.
Tukifupisha, ni NGUMU SANA KUZUIA MABADILIKO.
Watanzania wanataka mabadiliko. Na muda umefika. Muda ni huu. Muda ni sasa.
Nashukuru.
#familia ✌️