@barakawamb Daah uchawa ni ushoga. Lengo la Lissu ni kuubomoa ulinzi na usalama ili sisi watanzania tujue hatuna viongozi wa kusimamia usalama wa nchi zaidi ya kulamba miguu ya watawala tu.
@RajabMoham6701@HecheJohn Ninawasiwasi na uislamu wako omba sana mungu asihukumu kizazi chako.Ikiwa Lisa aliomba ulemavu hakika Mungu atawapa mateso vizazi vyako Insha allah.
@Jambotv_ Hakuna kuondoa vikwazo mpaka mkwamo wa kisiasa utatuliwe na wote waliopotezwa na vyombo vya usalama wa weze kuungana na familia zao kwani hizo visa zinanufaisha 1% ya 60+ citizens
@YerickoNyerereT Wenyewe tumeupenda utapeli wa viongozi wetu pambana na chaumma yako.mke umemuacha tena kwa taraka 3 nini kucha kumchungulia kwenye madirisha anafanywa nini.acha undezi kaka.
@MsigwaGerson Msemaji huo uchumi imara ni kwenu nyie na wabunge wa JMT,vaeni viatu vyetu vya mishahara ya 450k kwa mwezi ndio mtaacha haya maujinga yenu.