🚨‼️TANZANIA MATOPENI TENA‼️
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetoa Ripoti ya Uwazi wa Fedha ya 2026
Katika orodha ya nchi ambazo hazikukidhi kiwango cha chini kabisa cha uwazi wa kifedha kwa mwaka 2026 ni #Tanzania! Kenya na Uganda wamekidhi!
Ukisoma muhtasari kuhusu Tanzania ripoti inaeleza serikali haramu haikuchapisha pendekezo kamili la bajeti ya utendaji. Nyaraka za bajeti zilizopatikana hadharani zilitoa picha kamili ya matumizi na mapato yaliyopangwa na serikali, lakini serikali ilidumisha akaunti zisizo za bajeti ambazo hazijakaguliwa au kusimamiwa.Pia Serikali haikutoa bajeti za kijeshi na kijasusi kwa usimamizi wa bunge au wa kiraia.
Serikali ilitoa taarifa za msingi kuhusu tuzo za uchimbaji wa maliasili hadharani lakini si taarifa kuhusu mikataba ya ununuzi wa umma.
Hatua ambazo Tanzania inaweza kuchukua ili kuboresha uwazi wa fedha ni pamoja na:
👉🏽Kutoa pendekezo lake la bajeti ya utendaji hadharani ndani ya kipindi kinachofaa;
👉🏽Kuondoa akaunti zisizo za bajeti au kuzitoa kwa usimamizi na ukaguzi wa kutosha;
👉🏽Kuweka bajeti za kijeshi na ujasusi chini ya usimamizi wa bunge au raia; na
👉🏽Kuchapisha taarifa kuhusu mikataba ya ununuzi wa umma.
Hii ni sawa na kumpigia gita mbuzi! Hawa wauaji na mafisadi watazidi kuharibu tu
Ndo maana nawaambia #SamiaMustGo
Najiuliza hivi Lissu asingekuwa mwanasheria nguli,Angekubali yule mwanasheria mwanamke aliyopewa na Serkali inayomshitaki ili amtetee kwenye kesi yake ya Uhaini.Kesi ingeenda chapchap na Lissu saa nyingi angehukumiwa.Kweli kazi na umaarufu Lissu ni kisiki cha mpingo.
Tundu Lissu’s politically motivated treason case had resumed today, before the High Court of Tanzania.
Today, he returned to court still facing a case that should never have been brought.
We stand in solidarity with WLC member Tundu Lissu, and all political prisoners around the world.
We demand justice.
We demand due process.
We demand his immediate and unconditional release.
#FreeTunduLissu
Tanzania is among the countries assessed in the U.S. Department of State’s 2026 Fiscal Transparency Report that did not meet the minimum fiscal transparency requirements. Imekwama tena-go figure.
Transparency. Accountability. Justice. These are not optional-they are essential to good governance and to protecting the people.
As we wait for the U.S. Senate to return from August recess, we will continue to update on the progress of the bipartisan Tanzania legislation.
The people deserve truth, accountability, justice, democracy, and respect for their fundamental freedoms.
Muachilieni na Tundu Lissu while we are it #FREETUNDULISSU
Read the full report:
https://t.co/BsrKolHnW7
"Mahali kokote ukikuta Vijana wana resist (wanaleta fujo au kuvunja amani) ujue kuna mtu mzima mjinga ameshindwa kutimiza wajibu wake"~; @Mwabuk2Boniface
Rais Wa TLS, Katika Kongamano la Siku ya Vijana Duniani lililoandaliwa na BAVICHA, Dodoma leo Tar. 12/08/2026.
#FreeTunduLissuNow
Huyu kimama chenu kakaza fuvu bure hapa hakuna namna! Lissu anajitambua na kapiga mstari - na muda umeisha - mnavuta muda ili muone mtawabana vipi akina Heche wakubali maridhiano feki!
Mungu wetu halali! Mtakuja kuanguka VIBAYA SANA!
Kwa sasa Tundu Lissu ndo tumaini letu na kiongozi wetu! Na anasema uchunguzi huru wa kimataifa na uchaguzi urudiwe na #SamiaMustGo
Tuko pamoja - tuendelee kumwonyesha sapoti Lissu
#FreeTunduLissu
Ina maana wasiojulikana ni mashoga wa kujificha (closeted gays) maana si kwa spidi hii kukimbilia makalio wakikuteka - wao hawawazi kupiga ngumi wala nini! 🙄 Ni makalio tu! Tena wanapenda zaidi ya wanaume wenzao 🙄 SICK!
Wachafu hawa ila mkiona nawaweka majna yao watengeni si tu kwa sababu ya utekaji na mauaji ila jueni ni mashoga wabakaji - si bure! Na anayewapa amri na kuwaambia warekodi angalie ndo kinara!
Mtakuja kunielewa - tunaongozwa na mashetani wafiraji!
#SamiaMustGo
Tumia Email Hii Kuwajulisha CAF kuhusu tishio la Ugaidi Tanzania
Ndugu zangu Watanzania, kutokana na magaidi kadhaa ya CHADEMA kuendelea kukamatwa, nivema tuwajulishe CAF kuwa Tanzania si nchi salama tena kwa maandalizi ya AFCON.
Magaidi ya CHADEMA yanaweza kulipua timu zitakazokuja na wageni wengine waalikwa.
Tumia Email hii kuwaandikia CAF, attach ushahidi wa yale magaidi ya CHADEMA yaliyokamatwa pamoja na lile lihaini.
[email protected]
Nakala:
[email protected]
Hiyo Kesi ni Uthibitisho kwamba; “KUNA TOFAUTI KATI YA ELIMU NA AKILI”. Lakini pia, TUNDU LISSU amethibitisha kwamba; “AKILI HAZIFUNGWI PINGU”. Kajipigia KAVU KAVU.😂😂
SC Tundu AM Lissu ameshinda hii kesi akitokea jela.
Alijiandaa akiwa jela, amejitetea peke yake akitokea jela, na ameshinda kwa sauti kubwa akiwa jela.
Ajabu ni Majaji kuchukua miezi mitano kusikiliza na kuamua kesi hii. Jitafakarini.
LISSU AIBUKA KIDEDEA MAHAKAMA YA RUFAA YATOA UAMUZI:
Ni Lissu tena , DPP chali !!
Mahakama ya Rufaa Tanzania leo tarehe 30/07/2026 imetoa uamuzi kwenye kesi ya mkurugenzi wa mashitaka nchini (DPP) dhidi ya Tundu Lissu ( criminal Revision no. 7203216/2026.
Katika maombi hayo Jamhuri waliomba mahakama ya Rufaa kufanya marejeo dhidi ya taarifa ya kuongeza ushahidi wa Amin Mahamba kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili Mhe Lissu.
Mtakumbuka kwamba, Lissu aliweka pingamizi na mahakama kuu ikakubaliana naye kwa kukataa ushahidi mpya kuingizwa mahakamani, kitendo kilichopelekea Jamhuri kusajili nia ya kukata rufaa lakini baadaye wakasajili maombi ya marejeo.
Tarehe 3/07/2026 Mahakama ya Rufaa ilisikiliza maombi hao na leo kwa njia ya mtandao Mahakama ya Rufaa imetupilia mbali maombi ya DPP ikisema mahakama kuu walikuwa sahihi kuitupilia mbali taarifa ya kusudio la kuongeza ushahidi mwingine chini ya kifungu cha 308 cha sheria ya mwenendo wa makosa ya Jinai.
Mahakama ya Rufaa pia imekataa hoja ya DPP kwamba hakusikilizwa na imeyatupilia mbali maombi ya mkurugenzi wa makosa ya jinai nchini.
Kwa sababu hizo, kesi ya uhaini dhidi ya Mhe Lissu inapaswa sasa kuendelea mahakama kuu.
Mnasimama hadharani na kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa kwamba kuna hali ya hatari na usalama ni mdogo. Siku chache baadae mnatangaza kwamba wanaharakati ni magaidi. Mnakwenda kuwakamata watu zaidi ya 60 kwa uongo. Mnawapa mashtaka ya uongo ya ugaidi. Mnasahau kwamba mnatakiwa kuandaa AFCON ifikapo Juni 2027 na mnatakiwa kuendelea kupokea watalii na wakati huo mnatakiwa kuwavutia wawekezaji na mnatakiwa kuwaaminisha mababeru kwamba mnalinda demokrasia ili wafungulie mikopo na misaada. Hayo yatafanyika vipi katika ardhi yenye magaidi wengi kiasi hicho? Hivi nani ni mshauri wenu?
‼️🚨EMERGENCY ALERT‼️
The Pan African Solidarity Network, composed of legal defense networks, international and continental bar associations, human rights watchdogs, civil society actors, and human rights defenders world-wide, issue this alert on the systematic, physical destruction of Dr. Kizza Besigye and his legal counsel by the regime of Yower Museven and Chief of Defence Forces, General Muhoozi Kainerugaba.
#SaveKizzaBesigye #SaveEriasLukwago #FreeAllPoliticalPrisonersUg
Waambieni hawa jamaa kuwa wanaenda kusingiziwa kesi ya kumteka na kumwua Heche waache huu upumbavu!
Nimeshaweka hapa njama watasingiziwa hawa wanaomsema Heche kuwa ndo wamepanga kumdhuru - Acheni!
Watanganyika wengine akili mbovu 🚮 mnakubali pesa za mzenji kumdhuru mtanganyika mwenzako ili waibe rasilimali zetu??? Stupid!
#TutaelewanaTu
Top Lawyer, Top Leader, Top Character!
Umeshinda hujuma za dola kuongeza ushahidi wa ziada ktk kesi ya uhaini.
Jaribio hilo lilikuwa afterthought, baada ya kupiga chini 100% ya ushahidi wao.
ONYO: Muachieni au njooni awavue nguo tena!
Free Tundu Lissu Now!