Once you have tested flight, you will forever walk the earth with your eyes turned skyward, for there you have been and there you will always long to return
Arteta ni kocha wa kawaida tu anachokifanya ndicho hicho hicho alikuwa anakifanya Wenger na mkamfukuza. Manjesta na hii crisis yao ya miaka mingi lakini watakuja kujipata na kubeba ubingwa wa EPL kabla ya Arsenal.
@GeorgeJob14 Ni kama mtu aliyeng'atwa na nyoka hata jani likimgusa ni lazima ushtuke, Timu yetu katika ile mechi muhimu ambapo huihitaji matokeo ndio wanakushangaza ndio maana Imani imekuwa ndogo
@mosam_chande Ni kweli broo ila sio hadi kwa wolves lawama zitaenda kwa kocha kuna kama uoga uliopitiliza ndani yake huwezi ukaanza ku manage game ya wolves kwa kudefemd kuanzia dakika ya 60 huko, anawaprove right sana hao malegend