@Marshal0025@azamfc Huyu kocha ata kupanga 1st 11 anafeli bora aondoke tu apa utasajili Kwa gharama kubwa na Bado matokeo hupati utakutana na challenge za kitoto za Msindo v Fey kushindania 50k badala ya kupambania namna ya kuwa na morali ya kupambania timu @azamfc