@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@DullahTheking2@JayleenRickie@MissChelsea1221@Balyx_ Tuwe tunaagiza chesesi kama zamani tuwe tunatengeneza mabasi hapa hapa bongo kama zamani.
Unawaleta hao Yutong alafu vijana waliokua wanatengeneza bodi saafi kabisa umewazuia.
Wachina ni wachina tu, lazima wajali maslahi yao.
Zile bodi ambazo kenya walikua wanakuja kujifunzwa
@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@DullahTheking2@JayleenRickie@MissChelsea1221@Balyx_ Hayo Mambo yote yanasababishwa na serikali yetu kutokuthamini juhudi za vijana wa kitanzania.
Kwa nini hatuundi mabasi kama zamani, kwa nini tulizuia kutengeneza bodi za mabasi pale Kisangara, Moshi, Kifaru na sehemu nyingi Tanzania????
Mbona Kenya wanatengeneza?
@Labella_Mafia95 Ana bonge la mashine hata hawa vikaragosi wanaotamba humu X hawana hiyo mashine aseee.
Kibumbu imetulia alafu inautumbua flani wa kuamsha majini ya mjuluben
@FKihamu@Tanfootball wanatakiwa kuwa na mpango mkakati wa kuinua soka letu, soko kwa vijana wa tanzania n.k.
Hili litafanyika kwa kuanzisha academy zinazosimamiwa na @Tanfootball.
Waanzishe ya kwao na timu kubwa kama SIMBA na yanga nao wahimizwe kuanzisha academy.
Tutapata vijana wazuri.
Mitaa imetupa yale ambayo PROFESA alosema ni UHUNI.
Mitaa imetupa yale ambayo IMAMU alisema ni UPUUZI NA KUIPENDA DUNIA.
Hayo tuliyopewa na Mtaa ndiyo ambayo tumejisomesha, tukalipa ada kwa profesa na kutoa sadaka Msikitini.
A password with just 6 characters (numbers only) can be cracked in less than a second, However a 12 Character password with a mix of letters, numbers and symbols could take centuries to crack with current technology.
Be informed, stay safe 📍
@IAMartin_@SuluhuSamia@Dr_DGwajima 1. Waliofanya hicho kitendo wapo na wanawajua, kwa hiyo kwa kuwa neno askari ni general wamuulize JM kuwa afande aliyekua anamuomba msamaha ni askari gani.
2. Kuna tatizo la kutetea uhalifu hasa unapofanywa na watu ambao wameajiriwa kwenye vyombo vya usalama.
3. WASITUONE WAJINGA