@Skinny36479503@TheRealJongwe Eti CCM iliyopigana...aliyepigana nani sasa katika CCM au huijui historia ya nchi yako? Majuha wengi sana nchi hii walai!! Elimu Elimu Elimu
@CrownMediaTZ Kila mtu alipe Kodi. Wabunge walipe kodi, Majaji walipe kodi. Kila mfaidika wa nchi hii alipe kodi. Hakuna raha katika kulipa kodi. Kuna kila raha katika kutumia kodi. Hakuna anayependa mateso tu bila reward na sio haki kupata rewards tu bila mateso.
@Jambotv_ Sawa, kampuni zina jina tofauti. Lakini TIN moja?! Kwani kodi inalipwa kwa jina au kwa namba ya TIN? Kama alilipa katika TIN moja maana yake katika mtazamo wa kodi hiyo ni kampuni moja. Hilo la kusema hii ina THE hii haina THE ni miyeyusho! Alilipa kodi katika TIN number. Finish!
@bamtz255 @CloudsMediaLive Upo sahihi. Maisha yana mengi lakini bado tumepewa uchaguzi. Kuteleza kupo lakini attitude mbaya hurudisha watu kwenye makosa tena na tena. Mtu yeyote anayekiri na kuamua kwa dhati anaweza kubadilika. Kutafuta huruma sio suluhusho
@brela_tanzania BRELA mnafeli sana kwenye huduma kwa wateja kwenye simu. Huwezi kuamini kwamba ni Taasisi inayosimamia biashara kwenye nchi katika namna hiko kitengo kinavyojiendesha. Ni disappointment
@lwambojr2015@ItsMsoya @moran_mzee @fatma_karume Allah ni "Mungu". Katika jamii zinazozungumza Kiarabu wanaposali kanisani sehemu ya Mungu husema "Allah". Hakuna mwenye hatimiliki ya huyo Mungu, ni Mungu wetu sote. Nadhani tatizo ni nature ya Binadamu kutafuta namna ya kubaguana kwa bidii zote.
@Marge_DTM Ni vizuri kujua ni curiosity gani alikuwa nayo mpaka akavunja kioo. Muache alipe, muache apate uchungu kidogo na apate faraja kwa malipizi yake. Ongeza pesa umnunulie zawadi nzuri inayoendana na hiyo curiosity yake. Surprise her with your unpredictability.
@alistairtms Mandonga kafanya kazi kubwa sana! Kainua sana mchezo wa ndondi kama tasnia. Anastahili kukumbukwa kama mtu aliyefufua mapenzi ya watu kwenye mchezo wa masumbwi. Kingine ni mwanamichezo mzuri, japo kashindwa lakini ni mvumilivu, hana kejeli na ni mtu mwenye matazamio chanya.