Tanzania Football Summit brings together Football stakeholders for the developement of Tanzania football Industry.
#TanzaniaFootballSummit
☎️+255745222468
TAARIFA.
Kongamano la mpira wa miguu #FootballSummit2022 mwaka huu 2022 itafanyika Zanzibar.
CEO wa Afrisoccer @petersimon11 akizungumza wakati wa uzinduzi wa TFS 2022 uliofanyika mwezi wa pili katika hotel ya Serena Zanzibar.
"Lengo la Kongamano hili ni kuchangia na kusaidia
#TanzaniaFootballSummit2022 Moja ya Kongamano kubwa na la kipekee la mpira wa miguu Tanzania kufanyika Zanzibar 25-26 /06/2022 @gtzairport
Lengo kubwa kukuza mpira wa Tanzania na kuongeza uzoefu juu ya uendeshaji wa mpira wa miguu na uchumi.
#FootballForBlueEconomy
jukumu la Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania katika kukuza mpira wa miguu na kukuza Uchumi"
Mwaka huu makubwa zaidi yanakuja kaa tayari!! #footballsummit#football#soccer#Tanzania
@afrisoccer @azamsports2
TAARIFA.
Kongamano la mpira wa miguu #FootballSummit2022 mwaka huu 2022 itafanyika Zanzibar.
CEO wa Afrisoccer @petersimon11 akizungumza wakati wa uzinduzi wa TFS 2022 uliofanyika mwezi wa pili katika hotel ya Serena Zanzibar.
"Lengo la Kongamano hili ni kuchangia na kusaidia
Peter Simon, CEO of @Afrisoccertz in his introductory remarks gave a brief introduction of Afrisoccer and what it does, explained the whole idea of organizing #TanzaniaFootballSummit as part of various efforts that the company is doing to contribute to the development of football
“I support the efforts of Afrisoccer to organize a major conference that brings together stakeholders from all around the world” @kf1011
Former International Player with Inter Milan, Bolton Wanderers and Senegal National Team was a key Speaker during #TanzaniaFootballSummit2021
#TanzaniaFootballSummit2021
The Summit also issued awards tittled "Football Excellence awards" to various institutions in recognition of their excellence in various fields in Tanzanian Football industry.
Are you ready for #TanzaniaFootballSummit2022?
Wadau mbalimbali wa michezo wakielezea namna Kongamano la mpira wa miguu #TanzaniaFootballSummit lilivyo na faida mbalimbali katika kukuza na kuendeleza mpira wa miguu Tanzania.
Mwaka huu 2022 tunakuja na jambo kubwa sana kaa tayari. #football#Tanzania
Kongamano la soka lijulikanalo kama Tanzania Football Summit (TFS) ni kongamano kubwa la soka kwa Tanzania na ukanda mzima wa Afrika Mashariki. Kongamano hili linahusisha wadau wa soka wa ndani na nje ya nchi ya Tanzania ambapo wanakutana kuzungumzia soka na kutengeneza fursa za
Malengo makuu #TanzaniaFootballSummit
✍Kukuza mazingira ya biashara na Uwekezaji katika mchezo wa miguu.
✍Kuongeza network na mashirikiano (Partership) na kuvutia wadau mbalimbali.
✍ Kubadilishana uzoefu na ujuzi na kukuza ubunifu (innovation)katika mchezo wa mpira wa miguu.
biashara.
Kwa upande mwingine ni kutoa elimu kwa wadau wa soka soka kutatua changamoto mbalimbali zinazokabili tasnia ya michezo nchini na Africa kwa ujumla.
Mwaka uliopita TFS ilifanyika kwa mara ya kwanza katika hotel ya Hyatt Regency park Dar es Salaam, Tanzania.
Kongamano letu #TanzaniaFootballSummit tumeweka ada ya ushiriki kwa wazawa TSh 200,000 kwa watu wa nje USD 200 ktk hotel Nyota 5
~ Kupata ticket ya kuingia kusikiliza mijadala
~ Kupata WIFI, Chakula kizuri
~ Kushiriki shughuli zote zitakazo ibuka
~ Cheti cha ushiriki
July 30-31
Tumeandaa kongamano la wadau wa soka duniani 30-31 July kujadili kwa kina maendeleo ya soka ikiwa ni pamoja
▪Uendeshaji wa soka
▪Mifumo ya uwekezaji
▪Namna ya kukuza vipaji
▪Jinsi ya kuboresha sera zetu
Jiandae shiriki pamoja nasi tupigie 0767331541
#TanzaniaFootballSummit