TAFORI INAKUALIKA MDAU WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KATIKA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA KISAYANSI LA TAFORI LINALOTARAJIWA KUFANYIKA DECEMBER 11-13, 2024 AICC, ARUSHA.
๐Click on the link below to register
https://t.co/sxDffCp9Re
Kamishna wa Uhifadhi TFS, Prof. Dos Santos Silayo, alisisitiza umuhimu wa ushirikiano huu katika kutatua changamoto zinazokumba sekta ya misitu, kama vile mabadiliko ya tabianchi, magonjwa ya mimea, na matumizi ya teknolojia za kisasa, katika usimamizi wa misitu
UJUMBE KUTOKA URUSI WATEMBELEA TAFORI KUJADILI USHIRIKIANO WA UTAFITI
Machi 11, 2025 Katika jitihada za kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika utafiti wa misitu na uhifadhi wa mazingira, ujumbe wa wanasayansi kutoka Urusi umetembelea Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania.
Katika mkutano huo, TAFORI iliwasilisha tafiti zake muhimu, ikibainisha fursa za kushirikiana katika nyanja za ikolojia, usimamizi wa misitu, na teknolojia za uhifadhi wa mazingira.
Mashirikiano haya yamelenga kubaini na kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabali sekta ya Misitu nchini ikiwamo kupata uzoefu wa mbinu za kukabiliana na majanga ya moto, ufuatiliaji wa maendeleo ya Misitu kupitia teknolojia za kisasa kamavile satellite na ndege nyuki.
URUSI KUFANYA MASHIRIKIANO NA TAFORI KUPITIA ELIMU NA TAFITI ZA KISAYANSI
Urusi imejipanga kufanya mashirikiano na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI) katika tafiti za kisayansi, elimu kwenye sekta ya Misitu Tanzania.
Haya yamezungumzwa Machi 11, 2025 katika kikao kilichofanyika TAFORI Makao Makuu Morogoro baina ya Wanasayansi na Wataalamu wa utafiti kutoka nchini Urusi na TAFORI, kwa lengo la kubadilishana uzoefu na kubaini maeneo ya utaifiti wanayoweza kushirikiana kupitia sekta ya Misitu
Deputy Minister of Natural Resources and Tourism Hon.Dunstan Kitandula Officiated the opening of 3rd International Tanzania Forest Research Institute (TAFORI) Scientific Conference at AICC today December 11,2024
Deputy Minister of Natural Resources and Tourism Hon.Dunstan Kitandula Officiated the opening of 3rd International Tanzania Forest Research Institute (TAFORI) Scientific Conference at AICC today December 11,2024.
@taforitz#webringtheworldtotanzania