Kabudi awezi kaa chini mambo yameshaharibika akikaa aweza inuka. Na uzee wote huo bado mjinga mjinga kumbe ndio maana ana jaziba sana huyu jamaa
Lazima aletewe kiti anatembea na mkongojo. Ameanza ambukizwa madude na bi kizimkazi
Akitoka hapo anasema yale mauaji ya October 2025 tulijikwaa kidogo tu tumejipangusa sasa tuko vizuri, matako yako mshirika wa mauaji, jinga kabisa
Huyu ni mgonjwa anayetegemea fadhira za Samia kutibu hizo changamoto zinazomjaza mtindi mdomoni, yaani kabudi anashindwa kuwa na bima na kuishi huru amechagua kuwa House negro (mtukwa anayepika jikoni kwa mmiliki wa watumwa)
Kuna issue ya Staff na waliokuwa UDSM wanaomuandikia Kabudi hukumu za kesi ya Lissu na madodoso mengine anayo peleka kwa Samia kaeni mkao wa kula
Wote mnaopewa kazi na Kabudi na kuandika kisha yeye kuzichukua na kupeleka kwa Samia na Abdul , mmeshajulika mkitajwa na umma ukawajua msiseme mnaonewa , pale umma utakapo chukua hatua dhidi yenu, hakuna namna kabudi atawalinda zaidi ya Abdul kuwanyukua, msipo acha list itatoka
Mnajua kabisa hizo kazi za Kabudi ni za kuangamiza watu, yeye ndiye mashine ya kuweka watu kwenye kichinjio cha bi kizimkazi, lakini mko busy kufanya hizo kazi zake ambazo yeye anapeleka machinjioni
Hiyo kesi ya Lissu achaneni nayo mtapata laana, na mtashughulikiwa na umma, mwacheni aandike mwenyewe
Abdul na mama yake walivyo wajinga wanafikiria kuna kazi Kabudi anaweza , Kabudi hakuna kazi anaweza ni kishoka wa muda mrefu mwenye maneno mengi
Kama mnabisha mchukueni huyo jamaa, Mfungieni ofisini na laptop bila internet muone kama huyo tapeli anaweza andika chochote, mnafikiri siri zenu zinavuja vipi kama sio hayo maflash disk anayotumia? Na ma email au ma folder kwenye online storage anatumia huyo mpuuzi ? DP World alivujisha nani mnajua ? Kama sio hiyo kutuma tuma mail kwa watu hili wafanya uchambuzi kisha aje kwenu kujifanya anajua
Chumba kimejaa mvuke tu
Janabi hana issue wanajaribu dawa hasili
endeleeni na ubishi, namna pekee ya kupona ni kutoka na kusema nani aliua watu na kuomba msamaha na kujihudhuru
Labda wamama waliofunga na kuomba kwa miezi yote wataachia matumbo ya uzazi waliyoshirikia miezi yote
mnafikiria kichaa kimepanda midaa hii kwa nini? time ile ile aliua watu kama ndege pori
wajinga kweli mmeshindwa kuelewa sasa watu wanaomba sana awajazika
Siku hizi hata Kabudi mdomo wote umejaa utando mweupe kama ndama anayenyonya, akiongea unaona mauchafu tu mdomoni,
wote mnaofikiria mnanufaika na mauaji na kutunga kesi za kumfunga Lissu au kujaribu kuumiza watanganyika, Muda wote umeisha,
Hivi nani anateua hawa wajinga wajinga tunaotajiwa kila siku? maana huyo mtu wenu hata message ya mistari miwili awezi kusoma ameteua vipi watu 200 ? kisha akakimbia mpaka uapisho wa mawaziri HARAMU ?
Kama Zanzibar ipo, Tanganyika ina fichwa vipi?
Kama Kuna Rais wa Zanzibar, Rais wa Tanganyika ana fichwa vipi?
Kama Kuna Bunge la Zanzibar, Bunge la Tanganyika lina fichwa vipi?
#RestoreTanganyika