NHIF watakuwepo Arusha 04__06 June wee kama mfamasia kwanini upange kukosa labda???
Jisajili _Lipia kwa wakati kabla ya tarh 28/05/2025 _Tukutane Arusha
🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Una changamoto usisite kuuliza tupo kwa ajiri yako lengo sote Tukajifunze kwa pamoja
@miaanok@MwangiHub In Tanzania HESLB allowance is 752,500Tsh Every 45 days. That is 35,900 Ksh, with that amount I can start a successful Pharmacy business in Nakuru💔
TAPSA RISE 🔥 | TAPSA SHINE ✨
Wafamasia wa Tanzania, huu ndio wakati wa kuandika historia mpya kwenye taaluma yetu! Usikose Scientific Conference & 1st Tanzania Pharmaceutical Congress itakayofanyika ARUSHA - AICC, JUNI 04–06, 2025.
It is evident that the leadership roles I had during my university years have transformed me to who I am today. The spirit of putting the needs of those I lead before mine drove me here. Your 3, 4 or 5 years of studies can also be 3,4 or 5 years of experience.
I have always defy the odds, am grateful for all the chances and opportunities life has given me..Glad to have sworn in today as Registered Pharmacist.
I commit to serving the community to the best of my ability while upholding the ethical standards of my profession. Glory to God
@PhysicsJ7 Hii inaitwa Tetradenia riperia. Wachagga hutumia kuhifadhia nyama na kuchemshia nyama wakiamini ina onsoa sumu. Wakati wa COVID ilisadikika kupunguza makali ya ugonjwa Kwa walioitumia.
Please you are all welcome. Share your articles and other writings with us for our first ever magazine. Submit your articles via
[email protected] or [email protected]
Tutawatembelea watoto kwenye kituo cha KIND-HEART AFRICA kilichopo CHANIKA.
SIKU: JUMAPILI, 25/06/2023
SAA: saa saba mchana (1:00PM)
NAMNA YA KUCHANGIA 👇🏾👇🏾👇🏾
+255 659 715 631 - TIGO PESA
+255 683 865 888 - AIRTEL MONEY