100%. Hatuwezi kusapoti Chadema kwa maneno tu, lazma tutoe pesa.
Ngoja niwaambie kitu Watanzania, Chadema kukosa pesa ndio moja ya sababu kuu CCM wanawapata watu wa kufanya hizi press za kumchafua Heche.
Watanzania, hatutafika popote kama Chadema haina pesa .
Ni aibu kubwa sana nchi inayolilia haki leo ni siku ya 3 tumekusanya 50 million tu, ni aibu. Mtu ananunua bando ili aingie insta asome umbea wa nani kaachana na nani? Hizo buku 5 za bando la kufatilia umbea si ungetuma Chadema?
Reality is bila Chadema kuwa na pesa hakuna msaada mkubwa wataweza kutupa…….. Watu wanatupigania ila hata kuwasapoti na kufanikisha kazi zao kwa kutoa pesa tunashindwa??? Hii haki tunayoidai itakuja kimiujiza bila pesa kuwepo za kufanya movement ????
Kama unakubaliana na nilichosema basi, kabla huja Like hii posti, kabla hujareposti, kabla huja comment kabla hujamforwadia mtu hii link tuma pesa kwenye hii number.
vodacom: 0744 446969
Jina: Chadema HQ
Kingine nna swali kwa Chadema hawa wanachama wenu mamilioni, mna namba zao simu? Yani mna database ya wanachama. Je mnatuma messages kwa wanachama kuwakumbusha kuchangia? Mimi personally hapa Marekani huwa nasumbuliwa na message za chama mpaka natuma mwenyewe pesa. Maana message inakuja na link kabisa ya kutuma pesa, tena wanani address kwa jina.
Hii imesaidia kudhibitisha wanaomshambulia Heche wote ni mawakala wa CCM,
Hakuna namna huyu UVCCM afanyekazi ambayo sio ya CCM
Huu ni udhibitisho mwingine wale NYOKA wa CHAUMMA ni watumishi wa CCM, wanafanyakazi na UVCCM
Wale jamaa wa CHAUMMA kuweni nao makini, wako desperate, wanaweza kukuchomesha hata kwa mapolisi ukatikwa, wamefikia hatua mbaya sana
#Tanzania: "[David Hundeyin] rapidly emerged as a regime apologist. A day after the massacre began, he framed the violence on his verified X account as 'another western regime change psy-op' ... For survivors and human rights defenders, this is not justice; it is damage control."
‼️🚨BAADA YA SKENDO YA PESA KUBUMA WANAKUJA NA KONEKSHENI FEKI‼️
Hawa wapumbavu TISS na Abdul washaona ishu ya kumzushia Heche ufisadi wa pesa imefeli - sasa wanaandaa watoe AI ya koneksheni ya Heche na itafanywa na mdada anaitwa Cola
Huyu inasemekana alikuwa girlfriend wa Polepole wa zamani na @Rachel17D alimwongelea sana ktk usaliti wake hadi kupelekea Polepole kupatikana ma kutekwa!
Eniwei mdada huyu ndo kapewa kandarasi hii so tukimwona au yeyote na koneksheni feki MPUUZENI 🚮
Mijitu mipunbavu hii 🙄
Ila wajishikilie tu! Heche haendi kokote
#SamiaMustGo
#FreeTunduLissu
Unataka kuhalalisha upumbavu kwa ku play victim? Umewahi kukosoa utawala wa kifalme wa Swaziland? Kwanini inaaminika Rwanda ‘wamekubali’ kuishi na dikteta @PaulKagame, na ‘wanamkubali’? Umewahi kuwa ne neno juu ya utawala wa Cuba? Una neno juu ya utawala wa kisee wa Russia?🙋🏽♂️
Shut up, hii ni temporary tu, anashikilia kwa miezi tu. Uchaguzi rasmi utafanyika November mwaka huu na kiti hiki atapewa mtu ambae kachaguliwa na wananchi ila nilijua ni lazma ungeipenda hii na kuiposti ili watz waone kama vile kimama kuweka familia yake nzima serikalini ni sawa.
Na by the way, watu wa chama cha upinzani (Democrats) wamepigia kelele vile vile hata hiyo miezi 6 ambayo dada mtu kapewa kushikilia, so what’s your point?????
Tupe story za maridhiano ya ACT na CCM haya mengine achana nayo.
Hii nyumba tungemsaidia @HecheJohn kumalizia - wenye uwezo wamnunulie simenti, vigae, tiles nk tumalize
Tusimpe directly pesa wasije wakasema kaiba 🙄 tumpeleke vifaa vya ujenzi ili watokwe na povu zaidi!
Sijui mnaonaje hili wazo?
#TANZANIA: LISSU’S WIFE SAYS FAMILY SHATTERED AFTER YEAR WITHOUT CONTACT
Alicia Lissu, wife of Tanzanian opposition leader Tundu Lissu, has revealed she has not seen or spoken to her husband for a year since his arrest on treason charges, describing the ordeal as one of fear, pain, and lasting scars.
Speaking to BBC Africa Eye from Belgium, where she currently resides, Alicia said the first months after Lissu’s detention were devastating:
“The first three months were very difficult. I was overwhelmed with thoughts. Our family lives with scars. When I saw Tundu arrested and eventually charged with treason, I lost hope.”
Lissu, 58, chairman of the opposition party Chadema, was arrested in April 2025 while leading a campaign under the slogan “No Reforms, No Election.” Authorities accused him of inciting citizens to reject the 2025 general election, leading to treason charges.
Under Tanzanian law, treason is a non‑bailable offense and carries the possibility of the death penalty if convicted. Alicia said the severity of the charges has left her fearful for her husband’s safety, noting that she now relies on lawyers and relatives for updates on his case.
The Tanzanian government has denied claims of shrinking political freedoms, insisting that under President Samia Suluhu Hassan, political parties and citizens have been allowed to hold meetings and activities.
Mipango ishabuma huko kabla ya kuanza 😂 kashaenda kukodiwa mtoto Msolwa waje kusema ni mtoto wa Heche et kamtelekeza😆 CCM zero kabisa, HECHE hachafukii
Walid ameharibu maisha ya huyu binti,
Binti ameamua kutumia tiktok kujiokoa na imesaidia umma kujua anatishiwa kupotezwa
Hili liwe somo kwa watu mnaotishiwa na kukaa kimya, kilichomsaidia huyu Binti ni kwenda live huko tiktok na kueleza vitisho anavyopokea
@Dr_DGwajima umekaa kimya tu na binti kama huyu anaonewa na yuko na mtoto mdogo
Anapewa vijipesa kunyamaza, Sheikh anajulikana ni Rafiki wa Karibu wa Kikwete , lakini ndio apoteze watu? Kwamba ukiwa karibu na Kikwete basi wewe unaweza chinja chinja Watanzania?