@mangekimambi Tumia kiingereza Kwa sababu tunataka isikike dunia nzima na lugha ambayo inatumika sana duniani ni kiingereza hata sisi Tz tayari watu wameelimika sana tofauti na nyuma ila weka subtitle ya kiswahili
@SUDINassor89711@SiasaMaisha2030 Kwaiyo wale waliokufa gharika la maji kipindi c'ha Nuhu walikua hawapendwi na MUNGU? Au wale Sodoma na Gomorra ilikuaje kuaje?
@Ndambalio@HildaNewton21 Pia habari ya kuchukua nchi sasaivi tunahitaji ukombozi Wa nchi na katiba mpya masuala ya kuchukua nchi ni baadae uko tukishafanikiwa vyote na kupata tume huru ndio itajulikana atakaeshinda uchaguzi ndio atakua kiongozi so jikite kwenye vita ya Sasà Sio busara ya baadae.
@Ndambalio@HildaNewton21 Hao wote walipitiwa na watawala ndani Yao kuna maumivu kila mtu anachagua silaha ambayo waliomfanyia wanaielewa zaidi, so chukua chenye busara vingine achana navyo watu ni wazuri mpaka pale watakapojeruhiwa even you ungekua umepita kwenye hayo mateso ungekua tofauti.
@Cowwbama Uzinzi ni dhambi pekee inayotendeka ndani Yako inakutia unajisi, mikosi na laana. Ndio maana sometimes ukiwa na Jambo lako wanakwambia usishiriki tendo kipindi hiki.
@ATizulwa_@kabaisa_jr Kama mtu anakutumia kwenye kafara zake anapata billion 100 na mambo Yake yanaenda kuna hasara Gani ataipata akikupa billion 2, mbona vitu Ivo vipo na iyo agenda Sio ya Mali pekeake kuna agenda za kishetani zinaendelea.
@MariaSTsehai Tusikate tamaa MUNGU anakuja siku si nyingi mpaka tutashangaa, shetani anatumia mwanya huu kutuvunja moyo ili Imani yetu iyumbe apate nafasi ya kushambulia vizuri, kama inawezekana tufanye maombi ya toba.
@Kishiwatz@mpigabox@MchocheziPro Mshamba mwenyewe Nani kakuita bakini ukouko mazuzu wakubwa kila aliepotelewa na ndugu Yake anajua uchungu wake na haiishi hii mpaka tupate either miili
@mariam255_ Kama unatokea Tanganyika Bora uachane na izo mambo but kama ni Ng"ambo ya bahari sikulaumu but kuna siku ya Giza kwenu inakuja na nakufollow ili nitakukumbusha.
@CuthbertSweetb2@Roma_Mkatoliki Boss Kwa mauaji Yale hapana watu wamefiwa ni uchungu shida ya siasa ya Sasà ni kutekana na kuuana tofauti na Zamani watu Wana machungu hawajazika, tusemee Tu ule ukweli kutoka moyoni tukiachana na maandishi hapo juu utampenda mtu alieua ndugu yako eti umpotezee
@mariam255_ Wenzenu wanapiga madili makubwa makubwa uko nyie mnaishia kuwa machawa msiokua na hoja na at the end mambo yakiwa mabaya wataondoka mtabakizwa hapa na Maisha yenu magumu
@mariam255_ Nyie mnapelekwa kama magari mabovu na akili zenu za kuku Hapo mlipo kuna issue ya Nchimbi mmekaa kimya kama Sio nyie vile ila mkisikia ya upande Wa pili mnajiona mna akili Sana, hamuwezi hata kureason kwamba hiki Sawa hiki Sio Sawa endeleeni na upumbavu wenu ukouko