@jonathanmnyela@NassirMosley1 @KingPablotz Umechukua mkopo wa 4.8mil, say riba ni 16%, na kipato chako kutokana na bond ni 843K+, na unataka kulipa kwa kutumia hiyo? Kaka umewahi kulipa mkopo wa benki kweli?
@nickbigpoppa@nassibbaweni@Roma_Mkatoliki Mama nipe mia
Niende Vamia
Nikanunue bamia
Nilishe familia
Kwa mchuzi wa bamia
Ronaldo kaingia
Nchini Tanzania
Kapiga chenga mia
Na mmoja kaumia
Wazungu wakimbia
Na ma chupi ya gunia.
๐
@TMnyama4_ Amejitahidi kupita na lugha ya kigeni japo ina kona kona nyingi. Ilivyovunjikavunjika ni kama reputation ya Mnyama msimu huu. Akaze kwenye grammar, tense na structure.