Je wajua tozo zimepunguzwa na #MPesaImeitika? Fanya miamala mbalimbali kwa TOZO ZILIZOPUNGUZWA kupitia M-Pesa App au piga *150*00# ujishindie boda boda kila siku, wese full tenki, bajaji na MJENGO MPYA wenye fanicha kutoka GSM Home. #PesaniMpesa@VodacomTanzania
@swahilitimes Nitafurahi nikisikia wanamazingira wda Kenya wanafadhiliwa na nchi fulani", kama sehemu ya ujasusi wa kiuchumi mbadala nchi nyingi zinazoweleza ktk ujasusi wa kisiasa
#HABARI Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mheshimiwa Daniel Francisco Chapo amewasili nchini kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu, kuanzia Julai 2 -4 , 2026.
Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Mheshimiwa Rais Daniel Francisco Chapo alipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ambaye aliambatana na viongozi wengine waandamizi wa Serikali.
Akiwa nchini, Mheshimiwa Rais Chapo atafanya mazungumzo rasmi na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Aidha, Mheshimiwa Rais Chapo atafungua rasmi Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam; atamtembelea Mama Maria Nyerere kwa lengo la kumsalimia na ataweka jiwe la msingi la ujenzi wa Ubalozi wa Msumbiji jijini Dar es Salaam.
Itakumbukwa kuwa, ziara hii ni ya tatu kwa Mheshimiwa Chapo kufanyika hapa nchini tangu alipoingia madarakani mwaka 2024 jambo lililoakisi dhamira ya viongozi wa nchi hizi mbili ya kuendelea kuimarisha mahusiano ya kirafiki na ushirikiano wa uhusiano wa kindugu kati ya Tanzania na inatarajiwa kufungua fursa mpya za ushirikiano wa karibu yaliyojengwa juu ya historia ya ujirani mwema na mshikamano wa muda mrefu.
#EastAfricaRadio
@realdanieltitus Those who saw on picture depends on guns, bombs, nuclear, tanks, grenade, and bullet while this black man who posted this shit believe in those empty words
@_zolendronic Siku mkija kujua Mayahudi hawana undugu wala urafiki na yeyote asiyekuwa mYahudi, mtaacha kuwashobokea.
Kila siku wanambinu mpya za kuwauwa watu kupunguza idadi ya watu duniani. Wanataka wabaki na nguvu ya kuwatawala milele. Acheni kushobokea watu wasiowapenda.
Hawa wa hapa wamefeli kutengeneza hii script wameona waletwe wa nje kuja kuandika hii script vizuri
They keep on trailing us my friend in the name of democracy
Naona screen shot zako zinakuhukumu ni tofauti na kike unachosema 🤣🤣
Shida inayowasumbua ni chuku dhidi ya muungano na Zanzibar yaani ubaguzi umekujaa kama baadhi ya wazanzibar
@dsm2029 @cooler1134180 @therealhamis Nimekuuliza unajua kutofautisha Soka la vilabu na timu ya Taifa?
Wewe unaijua Zanzibar huki mitaani, lakini hujui lolote kuhusu soka mpaka hapa.