@IamGabby_01 Kuna mwanangu alitumiwa meseji na namba ngeni " Acha nasema Acha mara moja tabia ya....." aliishiwa nguvu kumbe walikua watu wa mikopo online
@AvithK10243@MalkiaTabasamu Hili swali inategemea kama wewe ni raia inapaswa umuite afande na kama wewe upo kwenye majeshi na umemzidi cheo quite askarii tu au mpiganaji😃
@munyamambogo Sikuzote mtu anaefanya kazi yake kwa uaminifu na maadili kwa kufuata misingi hapendwi na watu 😂 kwa mfano traffic kukupiga fine kwa sababu ya tyres sijui overspeed chombo kibovu n.k ni katika kujali usalama wako na wa watumiaji wengine wa barabara lakini sisi tunaona wanoko!