Taifa ambalo redioni asubuhi hadi mchana wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama wanajadili umbea. Jua likizama wanarudi kwenye michezo. Usiku wanajadili ngono hadi pakuche. Hakuna vipindi vya taaluma, ujasiriamali, kilimo, midahalo. Hilo ni TAIFA lipo kaburini kitambo.
mimi watu ninaowaheshimu sana ni wale walioamua kujiunga na vyama vya upinzani, hususan vijana. unaweza kuchukulia poa, lakini kwa nchi ya kiimla kama yetu, ambapo kuwa mpinzani unachukuliwa kama adui, kunahitaji ujasiri usio wa kawaida kujiunga na kundi hilo. nawaheshimu sana!
Hapa Duniani hakuna jina la Biashara ambalo halivutii, bali tunaponzwa na MAZOEA na ufinyu wa Promosheni...
Hata kipindi imetoka BUZZ kwenda TIGO, wengi tulisema TIGO haivutii
Hata jina la YANGA ni basi tuu tumelizoea ila halivutii kabisa
Wacha Dunia Itambue Uchafuzi Unaoendelea Kufanywa na CCM
Mkt @freemanmbowetz Ameeleeza Mauaji ya Wapambanaji wetu kwenye huu Uchafuzi umefanyika jana.
Credit: @AJENews
kuna kitu kibaya sana mbowe atakuwa amemfanyia msigwa kumfanya awe as obsessed as he is about him. au, msigwa atakuwa amekuwa akitaka sana attention ya mbowe, akaikosa, na hiyo ikampa deep, unhealed emotional wounds. i can't explain his bizarre obsession w/ him in any other way!
Chaguzi ndio zinakufundisha namna jamii yetu imejaa uncivilised people.
Na ukweli hii ndio background yetu, elimu inasaidia tuu kupiga brush, ila hii nchi bado ina watu wengi ambao hawajakua kwenye msingi ya watu waliostaarabika na wapo kwenye decision making.
Na bado mtatukana.
Uchaguzi hauharibiki siku ya kupiga kura, bali kuanzia kwenye mchakato mzima kuelekea uchaguzi na sheria/kanuni zinazosimamia uchaguzi huo. Kwa mantiki hiyo, kama sheria/kanuni zitaendelea kubaki zilezile, uchaguzi wowote utakaokuja mbeleni umeshaharibika muda huu.
Me: Nimekuja kupiga kura utaratibu ukoje?
Jamaa: Uliandikishwa na mwanaume au mwanamke?
Me: are you serious? Majina hakuna?
Jamaa: Yamenyeshewa mvua ila kaulize pale kwenye lile tent.
Nafika hapoa naulizwa same qn nikapelekwa kwingine tena.
Yamenishinda nimerudi home 🙌🙌
VIDEO:
Vurugu zimeibuka katika kituo cha kupigia kura cha Site 1 mtaa wa Mlimwa jijini Dodoma kati ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz mkoa wa Dodoma, Aisha Madoga na wasimamizi wa uchaguzi baada ya Mwenyekiti huyo kubaini wapiga kura ambao hawakujiandikisha kwenye daftari la mkazi wakiruhusiwa kupiga kura.
Jambo TV imemtafuta Msimamizi wa uchaguzi mkoa wa Dodoma, Charles Mduma ili kujua iwapo anafahamu kuhusu vurugu hizo na kilochoelezwa na mwenyekiti huyo, na kuahidi kuwa anafuatilia ili kubaini kilichotokea.
Tulia mpendwa, we endelea kuchukia kifo lakini elewa SOTE mwisho wetu ni MAUTI.
Ungeelewa hilo badala ya kuchukia kifo, pengine ungetumia muda wako kutenda wema.
Nakutakia siku NJEMA ya UCHAFUZI.
Dkt Faustine Ndugulile - mitaa inakupa maua yako, kila mtu akikuelezea kwa sifa zako ulizostahili.
Ulikuwa mtu kati ya watu. Pumzika kwa amani, bingwa.
isn't it crazy that your fellow member of parliament dies, and you've nothing good to say about him, even in your official statement, and come up with this meaningless, stupid 'i hate death' glib? what kind of person are you?
sijapiga kura. sikuona jina langu kituoni licha ya kujiandikisha. utaratibu wenyewe wa kutafuta jina kituoni is very laborious. inaweza kumchukua mtu roughly an hour kupata tu jina lake kwenye makaratasi zaidi ya mia yaliyobandikwa. it really requires commitment to vote!
Tanzania’s election of local government leaders could be once again marred by allegations of fraud, if the clearance process of participating candidates is anything to go by. https://t.co/Gr2UMy4Aum
By @kabsjourno
📍VIDEO:
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania @BarazaTec, Padre Dkt. Charles Kitima, akionyesha kushangazwa na kitendo cha viongozi wa Dini kuwa kimya katika kukemea vitendo vya mauaji na kuteka watu vinavyoendelea nchini.
Nimefika Ileje nikiwa na Ndugu Pascal Haonga pamoja na Abdulkareem.
Tumemkuta Mdude Mpaluka Nyagali katika kituo cha Polisi Itumba Ileje ambapo ndipo alipoletwa kuhifadhiwa baada ya kukamatwa.
Tumesimamia mahojiano kwa makosa matagi anayotuhumiwa nayo ambayo ni Kujeruhi,Kutoa Lugha ya Matusi na kuvurugha Ratiba ya Uchaguzi.
Mdude ametumia haki yake ya kisheria ya kutokutoa Maelezo Polisi ispokuwa particular zake na kwamba maelezo mengine atayatoa Mahakamani muda utakapo wadia.
Kwakuwa Makosa anayoshtakiwa nayo yanadhamana tuliomba apatiwe dhamana lakini tumejibiwa kwamba kuna Maofisa wengine wanahitaji kumuhoji kwa makosa mengine kutoka Mkoa wa Mbeya.
Kwasababu hiyo sasa tumemuacha kituo cha Polisi Itumba Ileje na tutaendelea na zoezi kesho kuhakikisha haki za kisheria na kikatiba kwake zinapatikana.
Chief @chiefodemba amekuja na style tofauti sana kwenye tasnia ya habari, jamaa anahitaji kila aina ya support.
Anafanya kazi takatifu sana!!
Kwa sasa kwenye tasnia ya habari Tanzania kuna Odemba na John wa @Jambotv_ , wengine wanasindikiza tu.
Namwondoa Sammy kwa nature ya taasisi yake.