Mange muongo, Mange muongo, kuna mpaka mwanaharakati mwenzetu aliniita content creator juu ya hii issue……
Sijui kama atakuwa na uungwana hata wa kusema sorry.
Nawarudia tena, serikali haikuwa inaongea na hii familia directly, kina Abdul walikuwa wanapitia kwa Lema, then Lema ndio anashawishi hii familia.
Inaweza isiwe leo wala kesho ila kuna siku hii familia itamtaja middle man.
Twaha ananiuma jamaniiiiiiiiiiii……..
Watanzania, lazma tupambane kwa njia yoyote ile. This is too much……
Yani the fews times nilizo chat na huyu kaka niligundua ni bonge moja la mtu na kwamba yupo dedicated na kuona haki inapatikana Tanzania.
Twaha alipambania nchi yake na sisi tumpambanie mpaka tumpate akiwa hai…:.
Remember this zanzibari queen butcher urging Ruto to enforce 'piga mikwaju' against her critics in Nairobi? Seems Ruto backed the idea fully. This miserable SSH is directing seizures during her edda Islamic seclusion period. How much further can we loathe this veiled lady. Damn!