@Sativa255 Kwani utaratibu wa kuinuana hapa x umekufa siku hizi? Laiti kama ungepita mkeka wa matibabu yake tungejitoa kwa hali na mali kumaliza hilo ASAP anyway kila kitu kina sababu zake chini ya jua! A kind heart โค๏ธ now at rest! ๐ญ๐ญ๐
@Mwinshehe07 Wanawake wakuu wa idara walio wengi wanateseka na mapenzi ila hawataki kukubali ukweli, inahitaji kijana jasiri kusoma hisia zao na mchezo kwisha ๐๐๐
@BracuszCadabra Kwa namna Yanga wanavyompenda Diara, hata ile taarifa ya kufungiwa michezo kadhaa kwake, ukiwaambia ni kama unmpigia mbuzi gitaa tu ๐๐๐
@390_Siez Hapa mbona kazi ipo..huyu ana kawaida endapo atasumbuliwa sana na what so called influencer, hakawii kumwaga mboga, waambie wakae kwa kutulia ๐๐ lah si hivyo tutarudi kwa babu zaka atupe ushahidi wake pale chamazi ๐๐ธ
@SJonas28@cleansheet_1 Alikuwa na kolamu moja kwenye gazeti la michezo maarufu kabla ya kupata kazi Azamtvtz, ila kwa sasa simfahamu nini kimempata dah ๐
@Machaoeddy@zoetjesheeftX So unataka kusema kwamba, mpaka dakika ya sitini na tano hizo sindano zilikuwa hazifanyi kazi? Au sindano zimeanza kufanya kazi baada ya kutoka Duke na Mudathiri? Ngaya bhana ๐๐