Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema Tanzania haiwezi kurejesha amani ya kweli kwa kutumia nguvu za bunduki au polisi, bali ni lazima Taifa lirudi kwenye misingi ya usawa, haki na umoja iliyojengwa tangu mwanzo wa Taifa.
#mwananchiupdates#tunawezeshataifa
"Hao watu wanaosema kwamba @HecheJohn ananizuia mimi kutoka gerezani ni kina nani?. Waambieni hivi mimi nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapopatikana, huo ujinga! ujinga! wa hao wapokea pesa za Lumumba na ukome." Mhe. @TunduALissu
Hon. Emmanuel Nchimbi.
Imagine mtu Kama huyu ambaye alikua anaongea face to face na baba wa TAIFA Julius Nyerere Leo hii anafutwa CCM wanaleta Watu hata wasiokijua Chama na kumtoa mkongwe akijuae chama.
Bado heshma yako itakuwepo Dr Nchimbi.
Free Mh Emmanuel Nchimbi 💪