@YusuphMbilinyi8 Kusiwe na mikutano ya kampen ya vyama vya siasa, ila tume iwe na mikutano ambayo wataalikwa wagombea ubunge wote jimboni, wagombea udiwani, ilikila mgombea apate jukwaa sawa na wenzie katika kufikisha sera, pia itapunguza mianya ya rushwa kwa wagombea
@YusuphMbilinyi8 Kusiwe na kampeni za nyumba kwa nyumba kutafuta kura wote tunakutana mkutanoni, wananchi wapewe nafasi ya kumuuliza swal mgombea yeyote ambae kuhusu sera zake,
Itatusaidia hata wale wagombea maskin lkn wana uwezo mkubwa kupata nafasi ya kuskika