MAGEUZI YA INTANETI (IoT) KATIKA BIASHARA NA MAISHA
Teknolojia ya Internet of Things (IoT) inakuja kwa kasi sana. Mtandao wa Gartner unaripoti kuongezeka kwa vifaa vinavyounganishwa na huduma za internet kufikia 26 bilioni mpaka mwaka jana 2020.
#ElimikaWikiendi
T H R E A D👇
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo (04 Mei, 2021) kuelekea nchini Kenya ambako anafanya ziara rasmi ya siku 2 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Uhuru Kenyatta. Rais Samia anatarajiwa kulihutubia bunge la Kenya.
#CloudsDigitalUpdates
Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichakob ameeleza bungeni kuwa Serikali inaiagiza Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kuondoa pia tozo ya adhabu ya asilimia 10 ya mkopo ambayo inatozwa kwa wanufaika wanaochelewa kulipa mikopo hiyo
#KutokaBungeni
Sasa tunapata picha halisi ya Vita aliyokua anapigana John Pombe Magufuli. Vichwa vya habari na namna taarifa za kifo chake zinavyoandikwa na vyombo vya habari vya nchi za magharibi zinathibitisha hilo.Wanaandika kwa kejeli na chuki na inaelekea wamefurahi sana. Tazama mifano hii
Mshahara wa Mwanaume wa mwezi January baada ya kulipa madeni, Ada za watoto, kodi ya pango bado kumtoa wife Valentine na kusukuma siku mpaka mwisho wa mwezi February