@nikkwapili Kupitia sanaa tunategemea msanii atoe maudhui ambayo kwa namna moja au nyingine yanatoa mchango flani kwa jamii! Mkuu #Swagiree ukiisikiliza unaburudika hata kama ulikuwa na stress unarudi kwenye mood moja kwa moja mmetoa mchango kwa jamiii through burudani
Jamaa kajifungia ghetto kwake kaweka Jibebe anaimba kwa sauti kubwa,bila shaka atakuwa ana-TWERK pia maana wanaume wa DAR tukishashiba ZEGE ni tabu tupu.
😬😬😁😁😎😎😎
Kizungu kwetu sio tu Lugha bali ni bidhaa ubora utategemea na bei uliyolipa, umeipata bure darajambili primary? Umeinunua kwa bei ya kati kule English medium nazo zina madaraja yake au kwa bei ghali kule Tanganyika.......sisi wazee wa bure jasho lazima litutoke
HAKUNA KITU KINAUMA UMRI UNAENDA HALAFU RIKA LAKO UNAONA WANA MAFANIKIO KUKUZIDI. INAUMA SANA LAKINI KUMBUKA KABLA HATA MIMBA YAKO HAIJATUNGWA MUNGU ALIKUWA TAYARI AMEENDAA MPANGO KUKUHUSU.
Kuna tofauti kati ya UPCOMING ARTIST,UNDERDOG na #UNDERGROUND
Cha kusikitisha jamaa lina DEGREE ya kuvaa JOHO tu ila kichwani OMBWE.
He can't even tell the differences and similarities.
Kweli ELIMU BURE.
Baada ya kuitangaza hadharani ndoto yangu ya kuwa rais nimepata mashambulizi mazito sana toka kwa vijana nikamkumbuka @tonytogolani na nadharia yake ya husda,kama mtu anaweza tu kuichukia ndoto yako Hi ni husda ya kiwango cha hali ya juu sana Jamii inayopinga maono haiwezi kuona
Wanao isapoti ndoto yangu ya urais nawashukuru sana, wanao ipinga na kusema haiwezekani nawashukuru zaidi kwakuwa ninyi mnafahamu hivyo vigezo na sifa zinazo hitajika sasa nawakaribisha mnipe hivyo vigezo na sifa nizifanyie kazi milango iko wazi ....#nikkwapili for presidency
Hello,
Pole na majukumu ya kila siku.
@NikkiZohan x @onetheincredibl & stereosingasinga i.e #SISITHETRIO
tunayofuraha kukualika kuitazama video yetu mpya #OverAndOver as directed by… https://t.co/YfylvYkCDK
.. kabla hujafungua kinywa chako na kumlalamikia Mungu... kwa hali yako ya kimaisha ya kupiga pasi ndefu (kutokula kwa vipindi Maalum).... Mshukuru kwanza Maana kuna wenzio hawapewi hata Mpira kabisa .. Na bado wanashukuru
Hivi kwenye vile "VIBEGI" mnavyoimba na kutangaza ndio huwa mnabebea VIKUKU na LIPSTICK na VILAINISHI au?
Good Morning,Let the STRESS begin!
#OverAndOver