Zaburi 23:1-3
The LORD is my shepherd; I shall not want.
[2]He maketh me to lie down in green pastures: he leadeth me beside the still waters.
[3]He restoreth my soul: he leadeth me in the paths of righteousness for his name's sake.🙏
Good morning family 🙏🙏🤍❤
#Budget 6.9M
TOYOTA PREMIO X 🔥🔥
REG" #BZP
▪️Cc. 1790
▪️Full Ac 🌨
▪️Engine-1Zz
▪️Sport Rims 🛞
▪️Android Tv 🖥 🎶
▪️Imetunza vizuri
▪️Imerudiwa vizuri
▪️Full Documents ✅️
IPO DAR
CALL/WHATSAPP-0719542184
GARI NI KALI SANA
Kuna maamuzi huwa tunachelewa sana kuyafanya au hatuyafanyi kabisa bila kujua kwamba ndio yamebeba hatma ya maisha yetu kwa kiasi kikubwa. The moment ukifanikiwa kuyafanya unajikuta “milango” ya mafanikio inafunguka kwa namna ya pekee sana unabaki unajiuliza kwanini ulichelewa.
Once we are done with this dark era and regime, we shall revisit who stood with us in these times! Be reassured!
Mi nitasamehe ila sitasahau watu wanafiki aisee
Wauaji na washenzi hakuna kusamehe - msamaha waombe waliowaua
It shall be well wapendwa ❤️ soon!
Kwenye spiritual World kuna Riziki na Dhulma, Riziki ina Haki ndani yake, inaweza kukua na kuendelezwa, ila dhulma ni deni, usipolipa wewe, kitalipa kizazi chako.
Ndio unashangaa watu wanaugua mpaka wanafilisika, wengine wakifa na mali zao zinateketea, na misfortunes kibao.
Waziri Mkuu anakagua nini huko mitaani na ni nani anasimamia strategic issues? . Parking fees na upuuzi kama huo ni kwamba hakuna kazi inafanyika hapa!
Huko Tiktok baada ya kuenda Likizo ya kama mwezi mmoja nilipoenda kufanyiwa MATIBABU—niliporudi na kuanza kazi tena ilikuwa Mziki kupata namba upya.
Watu ni kama walinisahau kabisa. Japo followers mchele ila nilikuwa naanza na moja. Nikaendelea kupeleka PAIPU bila kuchoka.
Saizi ni kama GARI imerejea kwenye mstari na WORLD CUP NDIO HIYO inakuja—Hawapo tayari majanja kwa Fire langu jipya.
Somo hapa ni lile lile mazee “FANYA BILA KUCHOKA” sisi wengine hatuna plan B kwenye maisha yetu. Ukichoka tuu unakufa.
Life lesson kubwa nawakumbusha kila siku humu, ni nadra watu kuhairisha mipango yao kisa wewe unahitaji msaada wa kifedha.
Sijasema wapo ila ni wachache sana.
Watanzania hakuna movement ya maana tutaweza kufanya kupitia X. Ni lazma tuzipate accounts za instagram.
Ukombozi uko instagram na tiktok, huku X ni kwa ajili ya ku-communicate na dunia Ila hakuna connection na wananchi inaweza kufanyika kupitia X.
@tausilikokola@Liberatus80 Lazma tupush tupate senate intervention or hearing juu ya meta. Bila kupata platform ya instagram tutaishia kupiga midomo ila mobilization ya wananchi hakuna. Na CCM wanachoogopa ni wananchi kudai haki sio wana harakati kupiga kelele ambazo hazina effect kwa wananchi.
Sasa hivi what we need is kuamsha wananchi wawe focused kama kipindi cha uchaguzi. Tukimix mobilization ya wananchi kupitia social media plus international pressure tutashinda. Ila kwa hii strategy ya Sasa, just pushing for international pressure bila pressure ya wananchi hatutoboi….
Bila kupata accounts za instagram hakuna movement ya maana tutafanya.
We have to push for @meta to face pressure from human rights organizations and the senate to reactivate my Instagram accounts.
Wanaoishangilia serikali haramu ya CCM kwa kutapanya mabilioni ya fedha za watanzania maskini kugharamia anasa na ushenzi ndio hao hao wanaoshangazwa na maendeleo ya Ethiopia😎.
KAMA HUKUPATA NAFASI KUSOMA
"Anaandika Baba Askofu Bagonza
YUDA AMECHOKOZWA; ASICHOKOZEKE❗️❗️❗️
Yuda wa Biblia alimsaliti Bwana Yesu. Siamini kama mleta hoja anamaanisha msalitiwa katika hoja yake ni sawa na Bwana Yesu!?!? Ipo siku tusiyoijua, “Yesu” huyu aliyefumbwa katika hoja hii, atafananishwa na “Mtume” asiyelinganishwa. Hapatatosha. Mleta hoja hajachagua vizuri maneno yake na mifano yake. NIMEMSAMEHE BURE.
Sakata hili lina mapichapicha sita ya hatari.
1. Msemaji aliwahi kuchokonoana na Rais wake huko kwao mpaka akajiuzuru. Mama yetu akamchukua, akamteua. Ina maana Rais yule na Mama yetu hawako shwari? Je Mama ni Yuda wa Rais yule kwa kuwa alimchukua mleta hoja?
2. Mleta hoja ni Mzanzibari, anamnanga Yuda Mtanganyika. Hii ni kero au ufa katika muungano? Alikosekana Mtanganyika wa kumrudi Yuda Mtanganyika?
3. Mleta hoja anasali Ijumaa; anamnanga anayesali Jumapili kwa kutumia picha ya (Yuda) anayeomba huruma makanisani. Tuseme katumwa na msikiti?!
4. Maneno yake yameingia kwenye Hansard. Bunge halikukanusha. Je ni bunge zima linamwita Makamu kuwa ni Yuda?
5. Naibu Spika alipomwongoza ajikite kwenye hoja, wabunge walipiga makofi. Walifurahia Naibu Spika kuingilia au walimshangilia mtoa hoja. Je makofi hayo ni mashangilio ya tumbili wa Kijaluo anayeshangilia pori linaloungua bila kuwaza atalala wapi usiku?.
6. Hoja imetolewa siku Rais ameondoka nchini na kwa mujibu wa katiba, Makamu ndiye Mkuu wa nchi wa zamu. Mtoa hoja anamaanisha hamtambui Makamu kama Mkuu wa nchi wa zamu?
Kwa vyovyote, kuna dalili mbaya. Matiti ya binti wa Kijaluo yakiishaota, hayafichiki na hayarudi nyuma.
7. Wakristo wanaamini usaliti wa Yuda ulileta wakovu. Bila usaliti, Yesu asingekufa. Bila kifo, asingefufuka; na bila kufufuka, wokovu usingepatikana. Hakuna wokovu bila usaliti. Waliookoka wameisaliti dhambi ili wawe huru. Mleta hoja kakosea. Hakuna Yuda na hakuna Yesu katika hoja yake. Zilikuwa ni saa za jioni; Dodoma mapito ni mengi, hatujui alipitia wapi kuja bungeni.
8. Kisiasa, CCM bila tishio la upinzani wa nje, inayumba. Tulishauri mapema sana Lisu aachiwe ili aiunganishe CCM, tukapuuzwa. Angeachiwa mapema, CCM ingeungana na kusahau tofauti zake za ndani ili kukabiliana na upinzani. Hivi sasa wapo wana CCM wanamtamani Lisu ili awasaidie kuona thamani ya umoja wa chama chao. Hamjachelewa.
9. Mama alikuja na “R” nne. Moja ya “R” hizo ni REFORMS, yaani mabadiliko. Lisu akamuunga mkono Mama kwa kusema “Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi” (NO REFORM, NO ELECTION). Akakamatwa kwa uhaini wakati aliunga mkono falsafa ya 4R! Mbadilishie mashtaka mseme alikosea kumuunga mkono Mama!
10. Wenye madaraka punguzeni nguvu, ongezeni hekima. Ruto alitumia nguvu, sasa ana nguvu lakini urais (Presidency) ni dhaifu. Kambarage alitumia nguvu na hasira Januari 30, 1984, Mpaka anaondoka duniani, jambo hilo lilimtesa. Trump alimnanga Pence hadharani, akaangushwa na Biden kwenye uchaguzi. Rais na Makamu hawatenganishwi kirahisi. Si mnatuimbia maridhiano!? Ridhianeni, wapambe tukose kazi.
Kama Yuda alichokoza; aliyechokozwa asichokozeke. Kama Yuda amechokozwa; asichokozeke.
Wajaluo bhana! Eti, hata anayepotea ana anakokwenda."
Hii serikali haijifunzi wala haijali yale yaliyotokea!!
Jana wasafi, waziri anahojiwa anaulizwa sababu za utekaji anatumia dakika 10 kuongelea sababu tofauti tofauti halafu the main one anai-skip!
Anakumbushwa na Ade kuhusu sababu za kisiasa, anasema kauli chonganishi za kisiasa zinaweza kuwa sababu!!
So adhabu ya mtu anayetoa kauli chonganishi za kisiasa ni kutekwa na kuuliwa, hakuna adhabu nyingine!
Imagine na huyo ndio waziri wa Home Affairs!!
Majibu kama haya ya kujifanya hujui tatizo! Ndio hujaza vijana hasira na chuki na kuamua kuingia barabarani then baadae mnasema wameshawishiwa na watu wa nje
Millennials tulikuwa na raha sana. Tulikuwa tunajua Kipepe , Lodirofa, Madenge, Kifimbo cheza na madenge wanaishi Dar😂.
Gen Z Hamuwezi elewa raha ya kutembea 10km kwenda kununua gazeti la sani, risasi, kiu na ijumaa🔥🔥
Siku huyu mzee akifa inabidi msiba ufanyike mwezi mzima.
Sidhani kama Tanzania ina Mzalendo zaidi ya huyu Mzee…. Mzee anaji risk maisha yake ili tu kuisaidia nchi, hana chochote anachopata zaidi ya kupoteza.
Nikiangalia anachofanya huyu mzee nazidi kufarijika kuwa I did the right thing kuacha biashara yangu iliyokuwa inanipa pesa nyingi ili kuwapigania watu ambao wamenipa platform.
Imagine kama Tanzania ingekuwa na wazee kama hawa hata 5 tu. Ila ndo hivyo Warioba yupo peke yake, wengine wote either dead or comprised.
Baada ya kuweka ushahidi kuwa mwanangu hana NJAA saizi wamehamia kwenye ajenda nyingine 🤣
Na kadri wanavyozidi kupiga ngenga na PUMBU huko yuchubu halishikiki. Free promo tunapewa safi kabisa.
Takribani mwaka mzima Chama chetu hakijakutana, na leo Kamati Kuu imekutana Dar es Salaam. Majadiliano ya msingi ni muhimu kila wakati, hasa katika kipindi hiki ambacho nchi inapitia huzuni kubwa kufuatia matokeo ya Tume ya Jaji Chande.
Miezi 6 baada ya kuuwa maelfu ya Watanzania, hakuna aliyekamatwa, kuhojiwa au kushitakiwa kwa mauwaji, au kujiuzulu. Mnaunda Tume baada ya tume kuvuta muda. Mtaficha nyeti zenu hadi lini kwa kipupwe hiki?
RIP Mashujaa wetu. Haki yenu yaja. #MO29
Yes kwa sababu mmezingua sana, yaani mmejivunjia hata heshima ndogo mliyokuwa mmebaki nayo kama WAZEE…Mmelisaliti Taifa na kuliongezea maumivu mioyoni kwa kutoa ripoti ya ovyo ya KUBUMBA!