@bellius_ba82387@safarimlevi@heche_edward@JohnMallya FAM ndio mkundu, sisi wengine usituunganishe bwana ๐, tuna historia ya kupenda haki na maendeleo kama alivyokuwa ametuwekea misingi Chief Marealle miaka hiyo.
Huwa napata tabu sana kuwaelewa viongozi na wastaafu wanapotoa kauli kama hizi.
Ni kama vile wanajaribu ku-individualize tatizo la ajira kwa vijana na kuondoa uwajibikaji wa serikali baada ya kulitengeneza tatizo hili.
Wanasahau kwamba uwezo wa vijana kujiajiri ni matokeo ya ujuzi waliopatiwa na taifa, haswa kupitia elimu na incubators.
Kama nilivyocomment kwa Kigwangala jana, vijana wa Tanzania kwa kiasi kikubwa sana wamefelishwa na mfumo.
Wengi wao wanamaliza vyuo wakiwa functionally illiterate kutokana na mipango ya hovyo ya wale wanaowatungia sera.
Leo maelfu ya watoto wa watanzania maskini wamejaa tu mtaani hawana ajira, hawana ujuzi, wala hawana maarifa, achilia mbali kuwa madegree.
Juzi sekretarieti ya ajira imefanya usahili wa ajira za walimu kujaza nafasi 3600 zilizotangazwa mwezi wa 12 mwaka jana, zaidi ya vijana 124,000 wamejitokeza kufanyiwa usahili na hii ni shortlist tu.
Ukiangalia wale walioshia darasa la saba na wale wa kidato cha nne waliopotezewa muda kwenye shule za serikali kwa kulazimishwa kusoma kwa kiingereza wasichokifahamu kisha kuambiwa wamefeli ndio wapo kwa mamilioni.
Wazazi maskini wamejitolea kila walichonacho, wameuza mpaka miili yao watoto wasome, lakini mwisho wamerudishiwa wategemezi.
Kama hiyo haitoshi kijana huyu huyu amekuwa kwenye kila aina ya uraibu.
Akiamka asubuhi na kutoka nje anakutana na kibanda cha betting, akipiga hatua tano kuna kanisa la tapeli wa madhabahu, alifungua redio muda wote ni story za udaku, Simba na Yanga, na Mama Anaupiga mwingi, akirudi nyumbani na kujikunyata kitandani pornography haimwachi salama, kila kona anawindwa.
Watawala wanaokusanya kodi yake ndio hao muda wote wapo busy kubadilisha magari ya kifahari na kuwaza uchaguzi uchaguzi ujao. Mfuko wa kukopesha vijana nchi nzima wanaupangia billioni 40 ambayo hiyo hiyo wanarudi tena kuikwapua halafu wakati huo huo bajeti ya V8 za viongozi wanapanga Bilioni 500+.
Ardhi waliyotakiwa kuwapatia vijana walime na kujikwamua ndio hiyo tena watawala wamejimilikisha kwa maelfu ya hekta.
Ni matusi na dhihaka kwa kiongozi aliyemwandalia kijana mazingira ya aina hii kumwambia ajiajiri au awaze kujiajiri.
Tuchukulie mfano walimu. Unawezaje kuruhusu zaidi ya moja ya tatu ya wahitimu wako wa vyuo vikuu kusomea ualimu ambao ni white collar job huku wewe mwajiri mkuu ukijua wazi kuwa hautoajiri zaidi ya asilimia 80% ya hawa wahitimu kisha baadae unawaambia wajiajiri?
How do they do that?
@mndeme93@nulphin Huo mwisho wa mwaka moshi siku hizi wanajaa mamluki ambao hawajajenga kwao, hata sisi wachaga tunakosa pa kukaa, halafu unaongea nini hapa?
This man is called Conrad.
It is reported that he was stabbed to death by his girlfriend.
Men like Conrad are murdered silently by their girlfriends.
Factually, the top 3 causes of death in young men are:
โข Unintentional injuries, like accidents.
โข Intentional injuries, like, homicide, state violence, and war
โข Suicide
You will never see us (men) hold sponsored protests to bash women.
This is because we understand that people doing the killings are not women, but criminals and murderers who should be arrested, prosecuted, and jailed
A big number of the so called feminists and manginas who hold protests to bash men are crooks and criminals.
Most of them have failed in their relationships and therefore are looking for an avenue to vent their frustrations.
We must call out these killers who are killing their boyfriends while hiding behind womanhood.
These are not women. These are criminals.
MEN, please, the moment you see red flags in a woman, dont sit there hoping she will change. She will not.
I have taught you a lot about red flags. Don't ignore them.
Don't conflate beauty with innocence. Most of these crooks hiding behind physical beauty are neurotic and psychopaths.
Don't tolerate murderers.
May Conrad rest in peace.
Condolences to his family, relatives, and friends.
May he get justice.
@FKihamu Unafanya jambo kwa kukusudia, halafu bystanders mna term ni kuteleza ! Hebu tupunguze utoto uliojaa ujinga. Lini tutafikia uwezo wa kukiita kutendo kwa jina lake stahili? Porojo porojo hadi kwenye mambo sensitive !! No wonder Taifa letu lipo hapa kwa ajili ya aina hii ya viumbe.
Mwanamuziki Mkongwe Kikumbi Mwanza Mpango King Kikii amefariki dunia.
Mwanamuziki huyo ambaye ameugua kwa muda mrefu, amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili ambako alikuwa amelazwa.
Atakumbukwa King Kikii kwa wimbo wake uliotamba mno wa Kitambaa Cheupe.
Pumzika kwa amani Mzee wa Kitambaa Cheupe King Kikii.๐