Baada ya madudu yake ya DP-WORLD na Tanesco hajakoma. Rostam tena ameibuka Doha na Rasi Samia. Rostam ni nani na anacheo gani serikalini? kila alipo Samia naye yupo Hatujui nini kitakuja nyuma ya hii. Ila watanzania tunachukuliwa poa sana na hili kundi la wahuni la Rostam etal.
Rostam : Sifanyi biashara na serikali
Mimi nafanyabiashara na sekta binafsi
Kwa hiyo Samia ni sekta binafsi kwa Rostam ? Unapewa government access kwenye mikopo na biashara halafu unajikwenda kama mjusi kwenye kuta sababu anaweza nyea walio chini ?
@AnnaTibaijuka Kama ukikubali kuambatana na Wauaji huwezi kusema mimi sio sehemu ya hao wauaji wakati ulikua na nafasi ya kujitenga nao kabla so huwezi kukwepa dhambi za kundi lako
@millardayo Kwa sababu Daraja ni lake au? Au ndo yale yale Tengeneza Tatizo nije nilitatue niitwe shujaa au ili kutuaminisha maisha yetu bila yeye kuna vitu vitakwama?
Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu.
Repost Repost Repost
@eng_matty@NyandaAmosi Unafikiri wataendelea kuwalaghai Watz kwa Mitandao tena? Pitia comments za fb kwenye pages kama za Millary au zile kubwa kubwa, utandua soon nako wataelimika antime
@hancymachemba Bado nawaza kama nia ilikua kuona reaction za watu kwenye matukio ya maumivu au lengo lilikua ni yale ulioyaandika! Ila inasikitisha sana